wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye biashara ya duka la nguo

    Wakuu leo nimeona niandike uzoefu wangu mdogo kwenye hii biashara ya duka la nguo. Huenda ikamsaidia mtu fulani humu atakayesoma uzi. Kwanza kabisa hii biashara sikuwahi kuota ipo siku nitaifanya kwa sababu nilikuwa siielewi na pia kuiogopa kwa sababu marafiki zangu walikuwa wakianzisha na ndani...
  2. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, mifumo ya TRA yote website ni IDRAS iko offline au shida iko upande wangu?

    Nimeona nilete hapa maana tangu asubuhi leo kila ninapotaka kuingia kwenye tovuti ya tra pamoja IDRAS sipati access kuna shida huko TRA TRA Tanzania
  3. technically

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo nimetonyeshwa kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona, Moyo wangu unavuja damu

    Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana. Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa nimeanza kuyasahau
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kumtoroka mwajiri wangu bila kumuaga

    Huyu mwajiri wangu,tuna mkataba wa mwaka mmoja. Mshahara anatoa tarehe 50 Mshahara wenyewe mpaka mpigane ngumi ndio anatoa. Ana matusi balaa. Nataka nimtoroke..kuna madhara yoyote?
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha damu na aliyekuwa mpenzi wangu kinanitesa, sijui hata nifanyaje kujinasua na maagano

    Habari zenu Wakuu! Nina jambo ambalo linanitesa kwa muda sasa baada ya kupita kwenye mahusiano ya nyuma ambayo niliyaona kuwa ni kila kitu kwangu. Wakati ule tulikuwa vijana, damu inachemka, na tuliamini kuwa upendo wetu ulikuwa wa kipekee kuliko wa mtu mwingine yeyote hapa duniani. Katika...
  6. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Siku ya Pili tu Jamaa nilimpiga IGNORE na sijam-UNIGNORE mpaka leo, do you know why? Usicheke maana hii haichekeshi

    Forget. Kifupi ni kwamba, Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga kaabisa how comes? Kifupi ni kwamba, JF tupo watu wa dizaini nyingi, watu wenye mawazo chanya na hasi...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

    Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani Mbwa ni mlinzi mwaminifu Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya...
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo na mtazamo wangu Lissu atakapochukua madaraka 2055

    1. Mambo yatakuwa mazuri, kama anavyosema Sasa hivi. Lakini Hali hiyo itadumu kwa miezi 10 tu. 2. Baada ya mwaka 1, vyama vingine (demokrasia) vitaanza kubinywa.......vitaanza kulalamika. 3. Baada ya miaka mitatu, mijadala ya kubadilishwa katiba na kikomo Cha uraisi itaanza bungeni (kama kawa...
  11. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  13. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Habari ndugu... Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka.. Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu... Kiufupi...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Sitaki kumsaliti mke wangu ila ananilazimisha

    Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl. Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa muda wote anakagua simu yangu. Haya nayapitia mwenyewe nyie watu mliooa?
  15. Vien

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
  17. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya 500/50 ilivyobadilisha muelekeo wangu

    wanajamvi wote habarini,heri ya sikukuu ya eid. mimi si muandishi mzuri sana, nimekuwepo jamii forums muda kidogo, ila kulikuwa na kitu moyoni mwangu nikitaka ku share pamoja ndoto zipo za aina mbalimbali. unaweza kuota unafukuzwa na wanyama wakali, unakula, unahesabu pesa, nk nataka niseme...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo. Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
  19. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaolewa

    MKE WANGU KAOLEWA Namuombea laana, yeye na kizazi chake Asipate cha maana, yeye na wazazi wake Naamba kwa maulana, kumhusu mja wake Mke wangu kaolewa Nilifanya kila hali, wao wapate amani Haramu au halali, chakula kiwe tumboni Kupata sio sahali, hakuridhika mwandani Mke wangu kaolewa Bora...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Wamemuasili mtoto wangu bila kunishirikisha

    Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau ambaye...
Back
Top Bottom