Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji.
1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio
Tanzania imeendelea...
Wakuu
Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma.
Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye.
Tunasolve vipi hii case wataalamu?
HADITHI TAMU SANA YENYE MAFUNZO MAKUBWA!
NAJUTA KUMPELELEZA MCHUMBA WANGU FACEBOOK 1
SEHEMU YA KWANZA “NAPOKEA FRIEND REQUEST”
Ilikuwa Jumapili nikiwa nimetoka ibadani nimetulia tu kitandani kusaka utulivu wa nafsi, masaa sikuwa nayakumbuka vizuri ila nachokumbuka tu ni kwamba nilikuwa...
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
Miaka ya 2003 kipindi cha ujana wangu ,na hapo movie mbalimbali zimetoka kwa fujo 😅
Kama muhanga wa movie, nikakutana na movie la spattacus hii anaijuia Seran na Vincenzo Jr mtaalamu wa movie
Nilikua naichapa napiga vitako kispatakasi na kile kifimbo cha manyoya 😅
Ila sasa hivi ni...
EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022
EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA)
FIELD: Community Engagement Officer and Resilience and Livelihood Officer (bith internships)
SKILLS : Data collector/Enumerator under different...
Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza.
Nimewahi kumuuliza kama...
Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town).
Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda...
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia?
Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭...
Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.
Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.
Mke analalamikia mshkaji, amemwambia...
Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
Bingwa - YANGA / SIMBA SC.
Timu zitakazo shuka Daraja
1. MBEYA CITY FC
2. FOUNTAIN GATE FC
MSIMAMO KAMILI
1. Simba sc point 80
2. Yanga sc point 80
3. Azam FC point 68
4. Singida black stars point 63
5. TRA united point 48
6. JKT Tanzania point 47
7. coastal union point 43
8. Mashujaa point...
Habari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao...
Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa .
Kwa katiba tuliyonayo tunategemea sana maamuzi ya Rais aliyepo madarakani na CCM , hata mataifa ya nje hayawezi kutusaidia...
Hello jf members
Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri dakika za majeruhi kufika. Itakuwa ni aibu kubwa mno.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji.
Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi?
Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.