Tatizo una stress za kunenepamwili naupa chakula kizuri, mazoezi, Bia , relaxation ya kutosha ila wapii kuliko zizidi hapo zitashuka..
Mkuu unapiga pombe za aina gani? Kama ni hardcore huwezi gain hata uleje!mwili naupa chakula kizuri, mazoezi, Bia , relaxation ya kutosha ila wapii kuliko zizidi hapo zitashuka..
Hivi unadhani stress ni kuwaza madeni tu au mambo ya mahusiano?Wala sina stress
What's you ideal meal plan?Hardcore hapana
Mbona mi nakula hizo na ninaelekea 100šMkuu unapiga pombe za aina gani? Kama ni hardcore huwezi gain hata uleje!
Jamanii kilo za mombešBora wewe! Mimi nipo hapo katikati!š©View attachment 3612292
Shenzy š«¢šššVyakula vya kwa shemeji haviwez kukunenepesha
Fanya kaz pata pesa zako ndo utapata utulivu wa nafs
Toka kwa shemeji