mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,390
- 9,213
Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana
Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa inamlazimu aamke saa kumi usiku kuwahi kazini
Kwahiyo nyumbani atakuwa haji Kila jioni Tena kama ilivyokuwa awali! Atakuwa anakuja mara moja kwa wiki jumapili kwaajili ya kuniona na ibada. Nimekubali ombi la boss wake, jamaa alivyomkalimu kanipa na laki moja.
Mungu akubaribiki boss wa mke wangu