wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. jastertz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo kwa wanawake ni ndoto!

    Wanawake shida yenu ni nini? Hawa wasimbe watawapoteza. Yaani mtu ajitafute, apate kazi, anunue kiwanja, ajenge kwa gharama na kwa ugumu, akutongoze, akulipie mahari akuoe akuweke ndani akutunze na bado akulipe? Upo zako mzigoni unapigiwa simu, njoo uwapikie watoto wako mke wako kagoma kupika...
  2. Notorious thug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupasiana Wanawake imekuwa kawaida siku hizi

    Ni weekend nyingine unaweza tembelea Tabata na Sinza kuifurahia weekend yako. Kuna ishu imezuka kwa baadhi ya vijana akishasex na mwanamke anamuunganishia na rafiki zake nao waweze kusex nae kunakuwa na mnyororo mrefu. Hii ishu imekuwa kama mchezo mwanamke mmoja anasex na watu kama wanne na...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Magodoro 30 (Milioni 2.5) Yagawiwa kwa Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AKABIDHI MAGODORO 30 (MILIONI 2.5) KWA WANAWAKE UWT WILAYA YA MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 26 Julai, 2023 amekutana na Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba na kuwakabidhi Magodoro 30 yenye thamani ya Shilingi...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

    Tuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri. Naombeni mushuke
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Kujenga Jamii Inayothamini Usawa na Haki kwa Kila Mmoja

    Usawa wa kijinsia unahusisha kutoa fursa sawa na haki kwa wanawake na wanaume katika maeneo yote ya maisha. Hii inajumuisha fursa sawa za elimu, ajira, afya, uongozi, na ushiriki katika maamuzi. Hata hivyo, bado kuna pengo kubwa la kijinsia katika maeneo mengi duniani, na hili linaweza kuwa na...
  6. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake hamuoni fedheha kuvaa nguo za ndani zinazojichora hasa mkitembea?

    Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanatesa wanaume mabwege

    WANAWAKE WANATESA WANAUME MABWEGE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaleta mambo ya kibwegebwege Kwa nini usiteswe. Unaleta Tabia za kibwege nazi, Acha unyooshwe. Hakuna mwanaume Duniani mwenye Akili zake, anayejitambua alafu ateswe na Wanawake. Kitendo cha wewe kuteswa na Mwanamke...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Timu ya Wanawake Nigeria yashindwa kuingia robo fainali Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2. Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Licha ya idadi ya Wanawake walio katika nafasi za maamuzi duniani kuongezeka, bado jitihada zinahitajika

    Usawa wa kijinsia katika uongozi ni suala la msingi ambalo linapaswa kuzingatiwa kwa makini na kushughulikiwa kwa dhati. Kuwa na uwiano sawa wa wanaume na wanawake katika nafasi za uongozi ni jambo ambalo linakwenda mbali zaidi ya suala la haki ya kijinsia pekee; ni suala la usawa wa haki na...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke akiwa hedhi, haruhusiwi kuingia msitu wa Nyumbanitu

    Hii dunia ina vitu vya ajabu sana na vya kushangaza. Kuna historia baadhi unaweza unaweza kushangazwa nazo mojawapo ikiwa hii niliyopata kusimuliwa. Msitu wa Nyumbanitu una historia nyingi za kushangaza. Msitu huu upo katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe. Msitu huu nimepata kusimuliwa...
  12. Half american

    JamiiForums Tanzania Shughuli ikiandaliwa na wanawake inafana Sana.

    Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅 Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanawake upinzani wamsifu Rais Samia

    Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza. Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

    Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye. Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mufindi wamshukuru Rais Samia kwa kuwapatia mitungi

    Wanawake wa Jimbo la Mufindi wamemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mitungi ya gesi ya kupikia, itakayowasaidia kuondokana na changamoto ya matumizi ya kuni na mikaa. Kauli hiyo waliitoa jimboni humo juzi, Mbunge Kigahe aliwapokabidhi mitungi ya gesi 500 yenye thamani ya sh...
  16. zema21

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

    jaman wanaMMU naombeni msaada wenu kwa anayejua sifa za mabinti wa kinyaturu atiririke hapa kabla sijafanya maamuzi magumu
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...
  18. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko la wanawake kuwa wakavu kupitiliza?

    Hebu wanawake tupeni majibu, hii hali inatisha sana. Mimi nakumbuka miaka ya 2007 ukimshika mwanamke paja tu au ukapanda kdg kwenye matiti basi anaanza kuloa hapohapo, na ni ile loa yenyewe kabisa kama kamasi hivi. Ila siku hizi unaweza fanya foreplay na mtu lakini waaapi! K bado kavu tu kama...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Maduka ya Mavazi na Ukahaba mambo leo

    Salamu wamebaki nazo Wazanzibar, huku bara salamu ni utumwa. Juzi wakati natoka zangu Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara nikiwa zangu kwenye gari ikiniwahisha Airport ikabidi nichukue simu nitazame ambayo yanajiri kila uchwao, nilipowasha simu nikazama Instagram ili kujionea habari kwa picha za...
Back
Top Bottom