Kwani wanawake kuna ulazima gani kutugaia umbea wenu wa mtaani tukiwa ndani??

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna alimradi yaishe lakini stori zinakuwa ndefu mpaka unachoka zaidi.

jamani tukiwa ndani ni kupumzika muda mwengine akili zinachoka stori zenu za umbea hazitujengi na wala sio kama tunapenda ila hatupendi makasiriko ya hovyo ndani....full stop
 
🤣🤣🤣Tunakuwa tume wamic,tunakosa Cha kuongea inabidi tuanze kusema watu ili story zinoge
 
sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna alimradi yaishe lakini stori zinakuwa ndefu mpaka unachoka zaidi.

jamani tukiwa ndani ni kupumzika muda mwengine akili zinachoka stori zenu za umbea hazitujengi na wala sio kama tunapenda ila hatupendi makasiriko ya hovyo ndani....full stop
Bora hao wambeya ni wanawake, Sasa wewe dume zima unaleta umbeya wa hayo makurumbembe yako? Acha umbea.
 
sijajua kuwa hili jambo linatokea upande wangu au wanaume wenzangu lipo na kwenu kwani tayari nimepita mahusiano matano lakini hali ni moja kwa wanawake wote wamekuwa ni watu wa kuwasema wenzao mara umbea fulani na kwa bahati mbaya sipendi kusikiliza ila nakuwa sipendi kumboa mtu hivyo naguna alimradi yaishe lakini stori zinakuwa ndefu mpaka unachoka zaidi.

jamani tukiwa ndani ni kupumzika muda mwengine akili zinachoka stori zenu za umbea hazitujengi na wala sio kama tunapenda ila hatupendi makasiriko ya hovyo ndani....full stop
Huo ndo upendo Mkuu we msikilize tu Alafu fanya Mambo Yako mengine Kuliko kumpuuza Maana ipo siku utatamani hata huo umbea 😂
 
Yaani akupe umbea alafu baada ya umbea umchakate vzr

Wanawake bana 😂😂😂

Halafu yaani, mnaanza anakupa umbea umbea halafu ukianza kumchakata anatoa miguno na kilio, hawa viumbe.
Kwanza uwe jirani umskie anavyompa mwanaume wake umbea baada ya lisaa unaskia anaanza kulia lia miguno kisha baadaye wanarudi kwenye umbea.
 
Kama Mwanamke hakupi za NDAANI/UBUYU basi jitafakari sana..

Kupitia Wanawake na Umbea wao kuna mengi utayagundua na yakawa msaada kwako.. ila ukijiweka usiriaz sana kuna vitu vitatokea na ukabaki unashangaa tu na mkeo baadae anakupa hints 1.2.3 unaduwaa kwanin hukujua.

Mfanye Mkeo kuwa ni msela wako kuna namna ya kuongea nao pia sio wewe utoke hapo uende kwa masela zako uanze kuwasilimulia sas uliyoambiwa na mkeo hapo sasa ndio unakuwa CERTIFIED MMBEA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom