wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

    Halo JF celebrities. Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Wanaume tuliooa wanawake wazuri tuna matatizo gani lakini?

    Ngoja leo tuongee na wanaume tuliooa wanawake wazuri kuona tunakwama wapi. Jana katika pita pita zangu mitaa ya kishua nikaibukia uswazi kwetu. Nikakutana na mwanadada Mashaallah analia huku akiongea kwa hasira akimtaja mtu mmoja kwa jina Mohamed. Alikuwa akipiga makelele Mohamed, Mohamed una...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake, Perfect Guy (Man) wako ana sifa na vigezo vipi?

    Habari zenu wadau, wakubwa kwa wadogo... Natumai mko poa na mnaoumwa Mungu awajalie unafuu ikawe heri Naomba niende moja kwa moja kwenye mada Nina swali ambalo nahitaji majibu na ufafanuzi kutoka kwa watoto wa kike sanasana (wajuba wa kiume sio mbaya pia). Hii ishu imenitokea mimi kabisa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia: Nini hasa kinafanya wanawake walioolewa au walio kwenye mahusiano serious kuchepuka?

    Wanawake, mko nyuma ya keyboard. Tuambieni sisi waume zenu tujue, msituonee aibu. Tuchaneni kisawasawa, nini haswa kinawafanya mnachepuka nyie mlioolewa ama mlio kwenye mahusiano yanayotarajiwa kuzaa ndoa? Ama wale mnaokuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, nini huwa chanzo? Wanaume, Leo...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini navichukia sana vitu vinavyopendwa na wanawake

    Natumai hamjambo wakuu. Wakuu nimejikuta nina huu ugonjwa ambao hata sijui umetokea wapi, yaani nimejikuta navichukia vitu karibia vyote vinavyopendwa na wadada, mfano viepe (chipsi), matumizi ya emoji na nk. Napovitumia najihisi kama nafanya mambo yakike. Je, hii ni hali ya kawaida au kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...! - Tatizo jingine la mdau wa JF. ========= MAONI NA USHAURI WA WANAJF 1. 2. 3.
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    Iwe na maneno uliyoyasikia kwa muda mrefu, leo unawakuta bar wakitafuna nyama choma. Kuna wake wa Mikocheni wanafikiria hajulikani Mbagala, mara unamuona mume wako na taulo kiunoni anatoka kuoga tena kwenye nyumba ya choo cha ushirika. Utachukua maamuzi gani?
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapishana

    Igweeeeee, Wadau mambo vipi kiukweli ndugu zangu wanawake wanapishana masham sham baada ya kumgegeda bao la kwanza . Wadau sijui tatizo ni kwangu tu yaani kuna baazi ya wanawake nikimaliza kumgegeda bao la kwanza hata huwa sitaki kumuona natamani aondoke niendeleee kulala peke yangu tu na...
  9. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini kozi ya uuguzi (Nursing) inaitwa kozi ya wanawake?

    Kama uliwahi kujiuliza hili swali, basi jibu lipo hapa.. Mambo yoote yanaanzia kwa huyu mwanamama anaekwenda kwa jina la Florence Nightingale. Huyu anatambulika kama muuguzi wa kwanza kabisa duniani na ndie mwasisi wa kozi ya uuguzi. Kwa wale wenzetu wa mambo ya uuguzi, jina hili sio geni...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume...
  11. JamiiForums Tanzania Najisikia raha sana ninapowaumiza wanawake

    Ahlan wasalan wanajukwaa salamu nawasalimia, Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi, mimi ni mmoja kati ya wanaume nilyeumizwa sana na wanawake imefikia stage nawachukia sana wanawake. Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu, kwa nia ya dhati kabisa nimedhamiria kuwaumiza wanawake na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana moyo wa kuvumilia...

    Siku zote najinasibu ni mtu wa gambe, yes napiga tungi kwelikweli na hapa napost hii. Nimerudi nimemkuta mke wangu Muanglican anasali rosali. Nimefunguliwa na Dada Wa kazi, kanipakulia mke yupo tu chumbani. Naingia chumbani ananiambia “NAJUA UNA MTOTO NJE YA NDOA YETU, TUMEKAAA MIAKA MINNE...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

    Salaam, Ni matumaini yangu makubwa kwamba wote tu wazima wa afya njema. Na kama kuna mtu anaumwa au afya yake imetetereka kidogo basi mwenyezi Mungu atakusimamia ili uweze kupona haraka na kuriudi katika hali yako ya kawaida. Kama kicha chwa huu uzi kimesemavyo ni kwamba nimekuwa nikisia watu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni Uzazi wa Mpango halafu kuweni Wastaarabu

    Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa. Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta nikakaza niaje basi juzi kati tukapanga kuwa leo ndio tutakutana fasi za niaje tuendelee kuyajenga...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hii ina ukweli wowote kwa Wanaume wa TZ na kwa wanawake je?

    Wanaume wa Tz hawakuambii it's over ila utapigwa matukio mpaka utakimbia mwenyewe.
  16. JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanawake ni wachache wanaojifunza 'Coding'

    FreeCodeCamp ni mmoja kati ya mtandao unaotoa elimu nyingi kuhusu kuandika ‘codes’ ili kutengeneza ‘projects’ mbalimbali ikiwemo kutengeneza ‘App’ za android, vikokotoo na tovuti Hivi karibuni wamefanya tafiti kwa watu 65,000 na mtokeo yalionyesha kuwa wanawake 7.7% walikuwa wanajifunza, wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Jamani 'Happy Hedhi Day' kwa Wanawake wote Duniani

    Leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya 'Hedhi kwa Wanawake' wote walio Hai Mimi naona nami hapa hapa nitoe Ushauri wangu Kwao... 1. Wawe wanazitupa vyema pale wanapomaliza Kuzitumia. 2. Wakiwa katika Vyoo vya Maofisini wahakikishe wawe wanazisukuma vizuri na Maji ili zisibakie. 3. Waache Kutumia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaofanya Kazi katika 'Madawati ya Jinsia' msipokuwa makini na aina ya 'Maswali' yenu kwa Wanaume mtakuja 'Kupigwa' siku moja

    Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo? 3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi? 4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno...
  20. JamiiForums Tanzania WHO na kesi dhidi ya mila za Rwanda za kuongeza Kisimi

    VITA YA ‘WHO’ DHIDI YA RWANDA NA TAMADUNI YAO YA KUKUZA VISIMI KWA WANAWAKE. Nchini Rwanda na Burundi na baadhi ya nchi kama Zimbabwe, kuna mila ya wanawake au wasichana kuchua visimi (Labia minora) kwa mtindo wa kikuvuta mbele ili kiwe kirefu. Mila hii ni maarufu na kubwa sana nchi Rwanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…