gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,210
- 2,839
Ahlan wasalan wanajukwaa salamu nawasalimia,
Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi, mimi ni mmoja kati ya wanaume nilyeumizwa sana na wanawake imefikia stage nawachukia sana wanawake.
Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu, kwa nia ya dhati kabisa nimedhamiria kuwaumiza wanawake na ninafurahi sana kuona mwanamke analia na kuumia kwasababu yangu.