Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi zaid imebidi tuconclude yawezekana ana mishe mishe zake hatuzijui na venye wanawake wa sasa wamekuwa...
Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano
Sasa basi hawa wanawake ni watu wa matatizo sn mara upo period.mara ana mimba. Mara anaumwa na...
Jana katika mizunguko yangu nilienda sehemu kupata chakula kidogo kukawa kuna wadada wanabishana kuhusu jambo moja.
Kati ya mwanaume mvuta bangi na mnywa pombe yupi ana afadhali ikiwa wote wanajiheshimu..
Je, wanawake wa humu JF swali langu ni bora uwe na mahusiano na mwanaume anaekula bangi...
Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa.
Dada zetu Waarabu wana wapa nini?
Niko mkoani kwa wiki kadhaa kutafuta grisi ya kulainisha maisha na kipindi chote hiki naishi nyumba za wageni sina uenyeji sana katika mkoa huu zaidi ya kuwa na begi langu la nguo na laptop tu.
Kuna mgahawa mmoja huwa ndio nakula hapo tangu nifike huku, una wahudumu wazuri sana na wakarimu mno...
Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa.
Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa hawakubali kutoa penzi mpaka wapewe rushwa jambo hili limeonekana luwa linaleta changamoto kwa maskini...
Natumai hamjambo wanajamvi.
Baada ya mpambano mkali wa burudani ya gegedo kwa bed wanawake hupitiwa na usingizi wa haraka sana, mnaweza kua mnapga stori mbili tatu baada ya game unashtukia mwenzako kashasinzia unaongea mwenyewe tu.
Sasa nachojiuliza hali hiyo hutokana na nini maana kama ni...
Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli.
1)wanawake baadhi sio wote wakipenda wanapenda kweli,wanauwezo wa kuwa na huyo mwanaume mmoja maisha yao yote ndani ya ndoa .Ila ni baadhi...
Mimi ni mkatoliki ila nakiri wazi kwamba nafurahishwa na namna waislam kwenye ibada zao na mazishini wanavyowatenga wanawake wake peke yao.
Yani nikiwaona wanawake wako nyuma wamekaa peke yao wamejifunika kanga au shungi au sisi wanaume tunapanda magari kwenda kuzika wao tunawaacha nyumbani...
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu.
Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi bonge la msimu hayo marashi ya kienyeji harufu yake inavyotoka hapo sasa.
Jamani hayo mawigi kama...
Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya.
Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya.
Nilichoshangaa kuona ni hiki, kila mwanamke niliye kua namwona alikua amebeba bonge la shepu nyuma lililo jazia.
Sasa...
Tangu june 2019 mpaka hivi sasa.
Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini ya mara moja kwa wiki na warembo ninawadaka sehemu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi niliyojifunza...
Wakuu poleni na msiba.
Mimi ni Mkristo ilaa, navutiwa sana na wanawake wanaopenda kujisitiri miili yao, ndugu zetu waislamu dada zao wanajitahidi sana.
Unajua bwana heshima ya mwanamke ni kutunza mwili wake kwa mumewe tu, sasa hawa wakaa uchi wananikwaza mno.
Yaani dunia imegeuka mashindano...
Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara, uko zako gheto, anakuomba muongee dili halafu anakupa ofa ya tsh laki 3, laki 5 au laki 2 kwenye dili...
Natumai hamjambo wakuu, japo tupo katika maombelezo ya kitaifa but mambo mengine hayana budi kuendelea.
Wakuu sio siri mimi ni mpenzi wa wanawake wenye chura, bt kuna mara chache hujichanganya kwa wadada wenye flat screen zao.
Aise! Nilichokigundua kwa hawa wadada wenye flat wana heshima ya...
Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora,
Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana yaani kama nalala na bundi aiseee wanawake wote amna hata mmoja ambaye hajawahi kuniomba pesa at first...
Diva anasema "mwanamke hudatishwa na show za kibabe kunako 6*6 na sio pesa za mwanaume, anasisitiza kua pesa ni ziada tu katika mapenzi "
Je, ni kweli au anajitoa tu fahamu Diva
ACT wazalendo kuna wanawake wazuri, na hiyo rangi ya purple ndo kabisaa imewakoleza, si wamama watu wazima wala mabinti, wote wako bomba, si weusi wala wale weupe wote wanameremeta hatari, nimeshawishika kuchukua kadi, halafu ni wasafi sana kwa mtazamo, nadhani itakuwa ni moja ya sera yao...
Habari zenu wana Jamii Forums
Twende moja kwa moja kwenye mada, Vijana wa leo wamekuwa wakurupukaji na malimbukeni,kwenye swala kuoa
Wamejikuta wakioa watu wenye jinsia za kike na si wanawake, matokeo yake kuyumbishwa, kupelekeshwa na kurudishwa nyuma kiuchumi.
Wengi huendeshwa na tamaa na...
Wadau nimeona nijiajiri.kazi zimekuwa ngumu sana. Nikaangalia haya maisha na changamoto zake kuzigeuza kuwa fursa.
Nmepata wazo, kuna watu huwa mpaka wanaenda nje ya nchi kutaka pandikiza mimba.mimi naona hiyo ni gharama.
Nitakuwa tayari kuwapa mimba wanawake ambao wana uhitaji.bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.