Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,136
- 4,298
Udalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya mwanamke umekua ukichukua nafasi katika jamii ya watumiaji wengi wa mtandao nchini Tanzania huku idadi ya wanawake na mabinti wakizidi kunyanyaswa kupitia mitandao ya kijamii.
Picha na video za udhalilishaji wa mwanamke zimekua zikisambazwa na baadhi ya watu bila ya kuona aibu.
Picha hizo na video zimekua zikisababisha maumivu na ha wakati mwingine kupeleka kifo pamoja na kumdhalilisha mwanamke huku wanajamii wakiwa ni watu wa kwanza kuliachia jambo hilo bila ya kulikemea.
Mimi kama Idd Ninga,nimeamua kusimama katika kupinga unyanyasaji wa kimtandao wanaofanyiwa wanawake kila siku,ni wajibu wetu kuwafanya wanawake na mabinti wasijutie kutumia mitandao ya kijamii.
Tuzuie kila aina ya ukatili huo.
Tutume salam kwa serikali, mashirika yasiyo yakiserikali, viongozi wa dini, vyama vya kisiasa, makundi ya kijamii na watu wote kupinga ukatili huu dhidi ya wanawake na mabinti.
#StopWomenCyberbullying
#MlindeMwanamke
#MpendeMwanamke
Tuweke Sahihi hapa

Stop Cyber-Bullying in Tanzania
Women cyber-bullying and violence has grown to take place in the internet user community in Tanzania, and more women and girls are being harassed through social media. Photos and videos of women abuse have been posted and distributed by some people without any shame. Those pictures and videos...
secure.avaaz.org