Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimesema kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumekuwa na mwamko zaidi kwa upande wa wanawake ndani ya chama hicho, ambapo kati ya watia nia ya Ubunge na Udiwani 160 nchi nzima zaidi ya watia nia 40 ni wanawake.
Hayo yameelezwa na...
Wanawake wa sasa hivi tofauti na zamani kabisaaa ladies of nowdays they don't cry after breakup, they behave like cashier in the bank "next person please🚶🙆♂️"
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
SEGEREA
Jumla ya kura 144
Agness lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3
Andrew 1
Kura zilizoharibika 1
BUNDA MJINI
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
Wanawake ni watu wakuwaangalia kwa jicho la nyuma. Mimi nimeolewa nanina mume wangu tuko pamoja huu ni mwaka wapili tunakaribia .
Sisi tunafamily friends wetu kama nyumba 3 wote ni watu wanajiheshimu ila kuna huyu mama hana hata haya tukiwa gethering yeye humganda mume wangu nakuwa kama wake...
I wonder what kind of JUJU ,our grandfather's used to marry over five wives and live a peacful life.
Nowdays only one wife and a SIDE chick and you will have no peace.🙆♂️🙆♂️😅
Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana. Vijana wangu, sampuli za namna hii siyo nzuri kwa afya yako, zikimbie kila zinapojaribu kukukaribia.
Habari za mda huu wanaJf
Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji)
Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali)
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba
1. Wapole
2. Wanaakili za maisha
3. Wengi wao ni umri (25_35)...
Babu akiwa na mjukuu wake akamuusia yafutayo juu ya mwanamke/wanawake
1. Mwanamke yoyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako
2. Wanawake wote huonesha UPENDO wao wazi wazi isipokuwa wale waliotendwa kabla
3. Mwanaume kumuacha MWANAMKE anayempenda ni kama simba kuacha kula...
Wanaume wenzangu, dunia imeshabadilika. Leo ukiwa na watoto wa mama tofauti kwenye familia yako jua unatengeneza kaa la moto baadae na kuwa na wake wawili ndio kabisa kwa asilimia kubwa unakuwa unajitengenezea jehanamu yako mwenyewe. Nimeshuhudia familia nyingi sana zinavurugana mpaka kufikia...
Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili.
Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao.
Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka...
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
1. Ukiwa mfupi halafu mweusi halafu una kitambi.kwa utafiti niliofanya nimegundua mademu hawawazimikii wanaume wafupi.yaani hisia zinakuwa ziko mbali
2. Ukiwa na watoto kuanzia wawili.kama ulimdanganya huna watoto basi akijua tu mapenzi yanapungua
3. Ukiwa huna hela afu unalilia uonewe...
1. Allah alivyotuweka wazi kuwa WANAUME NI WASIMAMIZI WA WANAWAKE. Si tu aliwapa ukichwa tu mjimwambafy. Ni kwamba mtakuja kuulizwa juu ya usimamizi wenu. MAANA YAKE MWANAMKE AKIYUMBA TU UJUE MWAUME ULIYUMBA KWENYE USIMAMIZI WAKO KABLA YA KUYUMBA MWANAMKE.
Ukiona mwanamke ameharibikiwa ujue...
Hello JF,
i guess awamu hii tumeshuhudia wanasiasa wengi wakihamia CCM,
Hii ime create atmosphere fulani ya confusion,..
i mean..
Kwa wanasiasa wa upinzani,.....
wa zamani kutokujua hatma yao,
na wanasiasa wapya, kuwa na uoga wa ku contest against CCM,
Sasa nimeandika hii topic...
" Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki.
globalpublishers
Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi
Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian...
Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa?
Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu?
Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya...
Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya.
Je, kuna ukweli hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.