Hivi wanawake ni wasahaulifu au huwa wanajisahaulisha

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Kuna vitu vingine huwa havimake sense kabisa mara kadhaa hivi unakuta mnaenda sehemu hata sio mbali kutoka kituo mlichoshukia na hamna kona nyingi wala nini

Sasa ghafla sijui nyingine unampigia simu mkutane hapo weekend kidume unatangulia unaweka mambo sawa ghafla anafika anakupigia simu amefika unamwambia njoo hapa tulipoachana siku ile anakwambia nimepasahau njoo unichukue kituoni

Why this mnakuwa mmesahau kwel iau mnajisahaulisha
 
Mimi nilikuwaga mtu wa kupenda kufanya mambo kwa siri hata kama nakula kitu kikali lakini hawa watu wamenibadili mwisho wa siku nimezoea,

1.unamwambia mkutane kwenye kinjia ambacho hakina watu wengi lakini ataforce mpaka mpite njia ya watu wengi
2.utakula mzigo unapangilia kama ni jioni atoke kiza kimeshaingia lakini ataforce atoke mapema na umsindikize mpaka kituo cha basi
3.unamwambia siku ukiwepo peke yako nitakutembelea,anakudanganya ukienda unakuta yupo na watu kibao
 
Hawajisahau ila moja kati ya vitu wanawake wanapenda ni ile hali ya kuona unawajali hata kwenye vitu Vidogo. Akikwambia hivyo jua anahitaji kupokelewa na kumsifia jinsi alivyo appear mbele za watu, nasio kuwa kasahau.

Tujiongeze jamani ili tuwafurahishe tu
 
Mimi nilikuwaga mtu wa kupenda kufanya mambo kwa siri hata kama nakula kitu kikali lakini hawa watu wamenibadili mwisho wa siku nimezoea,

1.unamwambia mkutane kwenye kinjia ambacho hakina watu wengi lakini ataforce mpaka mpite njia ya watu wengi
2.utakula mzigo unapangilia kama ni jioni atoke kiza kimeshaingia lakini ataforce atoke mapema na umsindikize mpaka kituo cha basi
3.unamwambia siku ukiwepo peke yako nitakutembelea,anakudanganya ukienda unakuta yupo na watu kibao
Mbaya zaidi ukute una mkoko mkali demu kila siku anataka umrudishe/umfate mpaka anapoishi tena ikiwezekana ushuke uingie mpaka ndani na kama anaishi nyumba ya kupanga atataka uende mda ule ambao watu wamejaa hapo nje/uani.
 
Mimi nilikuwaga mtu wa kupenda kufanya mambo kwa siri hata kama nakula kitu kikali lakini hawa watu wamenibadili mwisho wa siku nimezoea,

1.unamwambia mkutane kwenye kinjia ambacho hakina watu wengi lakini ataforce mpaka mpite njia ya watu wengi
2.utakula mzigo unapangilia kama ni jioni atoke kiza kimeshaingia lakini ataforce atoke mapema na umsindikize mpaka kituo cha basi
3.unamwambia siku ukiwepo peke yako nitakutembelea,anakudanganya ukienda unakuta yupo na watu kibao
Mapenzi hayana Siri.
 
Kuna vitu vengine huwa havimake sense kabisa mara kadhaa hv unakuta mnaenda sehemu ata sio mbali kutoka kituo mlichoshukia na hamna kona nying wala nn

Sasa gafla siju nyingine unampigia simu mkutane apo weekend kidume unatangulia unaweka mambo sawa gafla anafika anakupigia simu amefka unamwambia njoo apa tulipoachana siku ile anakwambia nimepasahau njoo unichukue kituon

Why this mnakuwa mmesahau kwel au mnajisahaulisha
Ushachukua chumba...umelipia alaf wanataka wajue wewe mmewe..haaaah.... Wkt wewe unamchukulia mchepuko duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom