Nimeamini, Wanawake wa Kipemba wanajua Mapenzi kuliko Wanawake wa Tanga

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Salaam,

Kuna kitu nmesikia watu wakijisifia kwamba wanawake wa Tanga ndo mapenzi yalipozaliwa. Ila ila baada ya utafiti wangu wa kina, nimegundua Wanawake wa Zanzibar hasa Kisiwa cha Pemba wapo Vizuri kwenye Tasnia ya Mapenzi kwa Ujumla yake. Yaani wanajua kumhudumia Mwanaume.

Nahisi inawezekana Tanga wanajifunzia Mapenzi Pemba.

Wapemba sio kwamba wapo Vizuri Kitandani tu, bali hadi Mapishi wamebarikiwa.

Wanawake wa Pemba ni Waaminifu sana, akipenda amependa tofauti na Wanawake wa Tanga. Tanga Wasichana Wazuri waliotulia ni Wachache sana, Tanga wanathamini sana na kufundishana Mafiga Matatu tofauti na Pemba. Ukiwa na Mwnamke wa Kitanga ni inatakiwa usiwe na roho nyepesi kwani wengi ni macho mia mia. Kila jogoo likipita wanalitaka.

Wasichana wa Tanga wanafaa kwa Starehe, yaani kwenda naye Disco, Bar, au kwenye Shughuli mbalimbali zinazohusisha kucheza na kukata mauno.
1606371569573.png
 
Tatizo ni moja ukizoea kucheza ndondo cup, siku moja ukaja kucheza ligi daraja la pili lazima ukaongew na kutangaza ndiyo ligi bora. Sijui ungegusa ligi kuu ungesemaje, kama si kuisema ni ligi bora ya duniani.

Ulizoea mistimu ya kitandani umekuja kukutana na kigoda kinachoenda position tofauti. Lazima useme, ni sawa na kipofu kuuona mwezi kwa mara ya kwanza
 
Hadi vipodozi aiseee kuna mama mmoja wa kipemba alimuuzia wife sabuni flani hivi ya kunawia uso na hata kuogea aisee wife alitumia ile sabuni week tu,sura ilirudi kuwa kama ya mtoto vile.Sasa ile sabuni inaondoa mafuta usoni wife akawa ananipa nipake kwa week mara tatu ghafla nikaanza na mimi kuwa mzuri ni kaona hapa sasa napotea maana nilianza kuwa na ile black beauty km ya wale wadada wa rwanda nikastuka nikaacha..

Basi akampa na mafuta sijui ma nini nini yale ya kumfanyia massage mume alooooo nilifanyiwa massage that day nililala usingizi kama nimekufa vile, naamka asubuhi very confident..

Hawa wapemba ni hatari sana
 
Mkuu lipiaa hili tangazo ahhahhaa
 
Naona leo mmeamua kuwa promote wapemba.
 
Ha haaa
 
Back
Top Bottom