wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

    Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wakuu Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima Hasara ni nyingi tuone.. 1: Utageuzwa kitega...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  4. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenzangu...

    Ukiona umekorofishana na mpenzi wako na ukajaribu kujiexplain halafu akakujibu NIPO SAWA TUU... My brother hapo jua unatakiwa ufanye kazi ya ziada kumfanya aelewe maelezo yako, usije sema hukuambiwa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume halisi hatuchagui aina ya wanawake wa kuwa nao

    Habari za leo waungwana. Leo naomba tujadili hii kitu. Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye. Akichagua ni kwa sababu anataka kuwa na mmoja tu lakini kimsingi anaweza kuwa na mwanamke wa aina yeyote...
  6. JamiiForums Tanzania Tuelezane ukweli kuhusu Dawa za kuongeza uume

    Jamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume. 1. Je ni kweli zinafanya kazi? 2. Mabadiliko yanabaki permanent? 3. Nini side effects zake/madhara yake? 4. Hiyo nyama inayoongezea inatokea wapi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

    Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana. Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

    Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume. Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaume hawataki mke 'golikipa' na mwenye kipato kikubwa?

    Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi. Je, huu mtazamo ni kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

    Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha. Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani. Shida ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  12. JamiiForums Tanzania Simu za wanaume zina nini?

    Katika kipindi cha leo "Mahusiano katika familia" kinachorushwa na Radio One, kulikuwa na hiyo mada. Katika maongezi na majadiliano yaliyojiri imebainika kuwa wote wawili (me/ke) ni waathirika wa Simu ya mkononi. Swali la msingi Je, wewe ni mwathirika wa simu ya mwenzi wako? Kama ni mwathirika...
  13. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
  14. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapigwa sana kwenye familia

    Habari wadau. Sisi tulio kwenye ndoa tunapigwa sana kwenye familia. Wanawake wamekuwa wabishi kama wenyeviti wa Serikali za Mtaa, yaani hawataki kutusomea mapato na matumizi ya familia. Hivi kwa nini wanawake wa kibongo hawataki kusikia habari za daftari la familia, namaanisha wanatakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Lemutuz awashauri Wanawake waliopata wadhfa Serikalini watunge Sheria za kuwalinda Wanawake

    Kumbe mjomba wake Mange sometimes dish linakua active.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

    Matiti yenyewe hata hayatoi maziwa lakini utakuta mtu anakazana kunyonya mpaka yanabadilika rangi yanakuwa mekundu mpaka unahisi maumivu hata watoto sidhani kama wananyonyaga mpaka wanawaumiza mama zao. Hivi mnapata nini kwenye matiti ambayo hata hayatoi maziwa?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni Bunge la Wanaume watupu, wabunge wanawake wanahudhuria mkutano wa Rais Samia

    Bunge la 12 Mkutano wa 3 Kikao cha 47 kinaendelea leo bila uwepo wa wabunge wanawake ambao wameelekea ukumbi wa Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa Wanawake wote bila kujali itikadi na Rais wa JMT mh Samia. Hakuna kupigiana makofi waka mbwembwe zozote ni moja kwa moja kwenye mada. Pia soma > LIVE...
  19. JamiiForums Tanzania Tip: Ujumbe muhimu kutoka kwenye UWABATA (Umoja wa wanaume bahili Tanzania)

    Habari za mchana ndugu zangu. Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana wa siku hizi. Ukikubali tu, basi hiyo ni one mistake. Ukishafanya nae, the next week anaanza story...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi! Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…