Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia.
Mhe. Restituta ametoa ushauri...
Habari wana JF.
Leo kuna vitu ilinibidi niwaeleze wale wanaume wenzangu wenye akili za miaka ya tisini maana huwa wanapata shida sana kusaivu katika mapenzi kutokana na mabadiliko ya kitamaduni.
Kwanza nianze kuelezea miondoko ya dunia ya sasa ambayo amkuwa teyari kuyakabili:-
Dunia sasa...
Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara yake ya duka la rejareja.
Baadae alipata mwenza na kubahatika kupata Watoto wawili, baadaye Baba...
Wenyewe tumetulia tuli, na tumeridhika na hali zetu lakini wao/wanawake ndio wapo Mstari wa mbele kututafutia Tiba za kuponya tatizo hili.
Barabarani utawakuta wanauza vipande vya nazi, mihogo na Karanga.
Ukiingia mitandao ya kijamii unakutana na matangazo kibao ya madawa ya tiba lishe na...
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.
Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?
Je, tatizo nini?
Tuambizane.
Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa.
Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu anapigiwa na kinatoka kitu tofauti na yeye. Unakuta dingi jeusi kama dhambarau lakini mtoto white na...
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.
Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.
Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:-
1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe.
2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda simu amuelekeze.
3.Mwanamke ambae unamuelekeza jinsi ya kufika geto mwenyewe.
Uzi tayari...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao.
Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
Habarini zenu ndugu zangu?
Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano.
Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...
Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF
Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF!
Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment!
Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa
Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa
Wapo wanandoa...
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa...
1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.
Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge?
Kuna Wanaume wengine ni Mayai Mayai ( Nyoro Nyoro ) hadi nikiwasikia wanafanya 'Upuuzi' huu wakiwa Makwao natamani 'niwaibukie'...
Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee.
Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani .
Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki.
Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua...
Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani.
Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini mzunguko kamilifu wa sperm zilizokomaa kabisa unachukua kati ya siku 64 mpaka 74.
Wakati wa mlolongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.