wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi: Kabla ya kuoa, dada zetu na mama zetu wanayapokeaje mawazo ya sisi kutaka kuoa?

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku! . . niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?. . . binafsi mimi ni kijana wa miaka 30 kwa sasa, nina mchumba tayari, lakini imekuwa kila nikisema nyumbani hata kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Vinyozi wapigwa marufuku kuwanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume

    Wapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku , vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini humo kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu. ‘’Mtu yoyote anayekiuka sheria hiyo ataadhibiwa’’ , Askari wa Taliban wamesema. Baadhi ya vinyozi katika mji wa Kabul...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tuweni makini na hawa wanawake wanaojiuza mitandaoni

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Kichwa cha habari chajieleza hapo juu... Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake. Nina mfano mmoja, kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa mabinti/ Wanawake kujipatia wanaume/ Waume

    Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao. Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama Wanawake wengi hawapiki chakula cha waume zao

    Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani. Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

    Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu. Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo. Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako. Leo umesisitiza kuwabeba wanawake kwa kuwa hapo zamani wanaume walibebwa Sana kwenye siasa, hivyo sasa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtindo wa Maisha unavyoathiri Afya ya Uzazi kwa Mwanaume

    Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume? Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume. - wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri. Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume wametutawala muda mrefu bila suluhisho la matatizo mengi, tumuunge mkono Rais Samia atatuvusha

    Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu...
  10. JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, una tatizo la ugumba? Fahamu sababu tano na tiba yake kwa wanaume

    Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hivyobasi mara nyingi hulazimika kujiondolea lawama hiyo na badala yake kusema kwamba kizazi cha wake zao ndicho chenye tatizo...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi wanaume wa siku hizi tuna akili kweli? Mbona hawa wanawake watatuua!

    Sasa hivi kumezuka mtindo wa wanawake kutugeuzageuza Kama tunachomwa sisi ni chapati. Mahitaji yao ya kuridhishwa kingono na kimaslahi yanaongezeka na kubadilika kila kukicha. Zamani MAPENZI tu yalitosha kufanya mwanamke aishi na mwanaume sasa hivi hali ni tofauti kabisa. Wanawake sasa wanataka...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume Tunawakosea sana Wanawake (Mme na Mke)

    Uboyfurendi sijui nini tupa kule ... From my experience ... Wanaumee tu wakosaji sana kwa wenza wetu wa ndoa (siongelei uchumba ) NDOA ...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya alipohimiza wanaume kuwafikisha kileleni wanawake

  16. JamiiForums Tanzania TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

    TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

    Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki. Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine. Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu...
  18. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

    Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani. Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane. =========================...
  19. JamiiForums Tanzania RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

    RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

    Habari wadau..! Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…