wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini viongozi wanawake hawana ujasiri wa kutambulisha wenzi wao kama wafanyavyo wanaume?

    Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu. Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi kutambulisha wenza wao na mara nyingi ni rahisi sana kumfahamu mke wa kiongozi fulani, ila kinyume...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume Mgane. Wanaume tujipange

    HAKUNA MWANAUME MGANE"ALIYEFIWA NA MKE AU NA WATOTO: JIPANGE. Anaandika Robert Heriel. Andiko hili maneno yake yamepimwa yakathibitika. Ni amini na kweli. Sijaandika kumuumiza yeyote, wala kumfurahisha yeyote. Nimeandika haya Kwa ajili ya wanangu iwe wa kuwazaa mwenyewe au wakufikia, au...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Part 1:- Kwanini baadhi ya wanaume hushindwa kuota ndevu

    KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANASHINDWA KUOTA NDEVU? Kulingana na tafiti mbalimbali, baadhi ya wanaume hupoteza mawiki kadhaa wakijaribu namna tofautitofauti za kuotesha ndevu katika sura zao, lakini zaidi wakipatacho ni vindevu kidogo tu na labda zikaota kimakundi makundi na zisizo na afya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo muhimu sana kwa Wanaume

    Zamani (nadhani hata sasa), kupata mtoto first born dume, watu walikuwa wanafurahi sana. Mwanaume anatembea kifua mbele kila mtu ana-muadmire! Sasa dunia ilipofikia, first born ndiye mkuu wa nyumba, si baba. Nimeshangaa sana! Mtoto anadiriki kumwambia baba yake: "Aaa baba, na wewe umezidi...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 1910 suti ya vipande vitatu na kofia ilikua ndiyo vazi la heshima kwa wanaume

    Ukitoka nje ya nyumba yako unakubalika katika jamii ukiwa na vazi hili. Kuvaa jeans na t-shirt ilionekana si ustaarabu.
  6. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Napendekeza wanaume tuanze kutoka na wanawake wa kishua

    Kutokana na dunia ya sasa ilivyo napendekeza wanaume tuanze kutoka na wanawake wa kishua au vipi? Wengi wana upendo wa kweli na nimeona hili. Kaka mkubwa Usangelola heshima yako! Nimeku+acknowledge!
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

    Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia. Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi zinavunjika? (Sehemu ya 1: Upande wa wanaume)

    Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja amemchoka mwenzake. Mpaka wengine kudhani huyo mwenzi aliyemuoa au aliyeolewa naye halikuwa chaguo...
  10. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha husababisha Wanaume kuugua kwa wingi matatizo ya Afya ya Akili kuliko Mwanamke

    Wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wametaja sababu 10 zinazochangia wanaume kuongoza kuugua magonjwa ya afya ya akili ikilinganishwa na wanawake. Sababu hizo ni kuzongwa na majukumu, ugumu wa maisha, utafutaji, malezi, usiri, kukua kwa teknolojia, matarajio ya maisha, sonona, matukio...
  12. Amo1

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tusifanye hivi

    Unapoamua kuzaa na mwanamke, basi inatakiwa uwe tayari kwa majukumu ya kumlea mtoto ambae Mungu amewa jaalia kumpata. Ukweli ni kwamba suala la malezi sio suala la kitoto, linahitaji sacrifice ya kutosha, kwa hiyo kitendo cha kuwakimbia wanawake na kuwaacha na viumbe huwa inakuwa ni jambo zito...
  13. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

    Mwanaume uliyekamilika ukipishana na mwanamke wa hivi, lazima shingo yako igeuke. Hasa ukute ndo kavalia kanga moja, ndo katoka kuoga mnapishana koridoni[emoji39] Au umkute kavalia suti yenye sketi fupi anaokota faili lililodondoka ofsini[emoji39]. Au kajilaza TU kwa uchovu kifudi fudi...
  14. Yofav

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

    Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF, Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia; Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa hizi siku kadhaa nilipokuwa kimya nimegundua kuwa kumbe wanawake wa sasa wanaingia kwenye ndoa kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

    Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani. Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
  16. karv

    JamiiForums Tanzania Hii kwetu Wanaume wote

    Unasikia mwanaume anasema Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza? Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao. Vichekesho Kweli* : unatarajia kuvuna wakati hujapanda? Mnatarajia vielee nakati hujaviunda? Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani)...
  17. evangelical

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohudhuria makongamano ya wanawake tuweleweje?

    Kongamano la wanawake mwanaume unawezaje kuhudhuria na kujichanganya kabisa na wanawake kama mwenzao? Niliona Dodoma Rais aliitisha kikao na wanawake nikashangaa midume imehudhuria. Halafu cha kushangaza zaidi SSH aliposema mwaka 2025 ni zamu yao wanawake kuweka rais wao mwanamke mwenzao...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

    Kuna Mwanamke nimempenda sana na Kutamani hadi aje kuwa Mke wangu ila nimemkuta mahala tena akibishana na Wanaume kuhusu Mabondia akina Twaha Kiduku na Dula Mbabe huku akizielezea vyema tu Ngumi na Upigaji wake GENTAMYCINE nikasema nikiwa nae Kimahusiano uhakika wa ama Mimi Kutolewa Meno...
  19. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mikoani mtubakishiege na wageni..

    Niaje wakulugwa.....!! Baada ya changamoto za maisha nikaamua kukimbilia mkoani kujipanga upya sasa maajabu niliyokutana NAyo yaan watoto woooote wazuri washazalishwa teNA mapema saana. Mfano juzi kati nikakutana na mtoto mzuri kweli kweli yupo kwao mi natoka ibadani akanipa ishara kwamba...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

    Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,. Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu. --- Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM Tito...
Back
Top Bottom