Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .

AD612764-EC0B-4FBF-8DED-FB3D503E89CF.jpeg
 
Nachojua mimi wanawake wa kizungu wengi ni gold diggers,wana mapenzi ya pesa,target zao zikishatimia wanaanzisha chokochoko za kuachana, mwangalie kim kardashian nae hivyohvyo,yaani hawa ni wa kuzalisha bila ndoa we unabaki kulea watoto tu, over.
 
Nachojua mimi wanawake wa kizungu wengi ni gold diggers,wana mapenzi ya pesa,target zao zikishatimia wanaanzisha chokochoko za kuachana,mwangalie kim kardashian nae hivyohvyo,yaani hawa ni wa kuzalisha bila ndoa we unabaki kulea watoto tu,over
Hata kwa waafrika katika kizazi hiki.Wanaume watafute hela mwanamke hata ukimgo... vp kama huna hela imekula kwako.
 
Ukishaanza kuiona ndoa kama ajira hata kama hulipwi ipo siku utaivunja ili upate malipo ya kazi yako.

Nafikiri tuanze kuwatumikisha ipasavyo ili mgawanyo uende kihalali hapo baadae.

By the way hakuna sayansi inayosema mwanaume ndio huwa kifaa chake huwa kinagoma akifika uzeeni. Labda awe na matatizo mengine. Wanaume tumepewa everlasting gift mpata tufe.
 
Huyo ashagundua Bill Gates anatoka na Binti kama Priyanka Chopra yupo mjini Mumbai kwenye penthouse apartment moja kali down town. Sasa mama ukiangalia kila kitu ndiyo kwishney (So sorry for saying that).

My point is, ukiwa na fedha, halafu ni mwanaume. Kwa dunia hii "You are the man", huo ndiyo ukweli. Mmeshika makali.
 
Bill gates is too ugly and creepy .it’s time kwa melinda kupata Mwanaume wa ukweli .
 
Ukishaanza kuiona ndoa kama ajira hata kama hulipwi ipo siku utaivunja ili upate malipo ya kazi yako.

Nafikiri tuanze kuwatumikisha ipasavyo ili mgawanyo uende kihalali hapo baadae.

By the way hakuna sayansi inayosema mwanaume ndio huwa kifaa chake huwa kinagoma akifika uzeeni. Labda awe na matatizo mengine. Wanaume tumepewa everlasting gift mpata tufe.
Mali anazoondoka nazo Melinda.

22985F69-EFF7-406E-8BE8-6972DAD28B2A.jpeg

743DF329-8079-4FE4-80ED-8B89FB05A74E.jpeg

B3F79090-84D0-4965-A830-E9F4ECA11A48.jpeg

6E49CE9D-FC18-493C-8B2B-37EF58015C6C.jpeg
 
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo .So wanaume muanze kupika ,piga deki na kufua nguo .wanawake tupo juu Sana,habari ndio hiyo .

View attachment 1772640
Wengine wasaka ngawira kama huyu Melinda ambaye Bill alimtoa kwenye umaskini wa kunuka. Period.
 
Wanaume wa siku hizi hatujali. Tunakugawia kiroho safi maisha yanaendelea kama kawaida. Unatafuta kabinti kabichi pisi kali nako kaje kafaidi mali ili ukizeeka uwe umeacha Legacy ya wa kuwatoa watu kwenye umaskini.

Mali zenyewe nyingi hivyo hata ukifa bado watafaidi watu. Kwa nini usiwaachie mapema kiroho safi akiwemo uliyeishi naye muda mrefu?
 
Ukishaanza kuiona ndoa kama ajira hata kama hulipwi ipo siku utaivunja ili upate malipo ya kazi yako.

Nafikiri tuanze kuwatumikisha ipasavyo ili mgawanyo uende kihalali hapo baadae.

By the way hakuna sayansi inayosema mwanaume ndio huwa kifaa chake huwa kinagoma akifika uzeeni. Labda awe na matatizo mengine. Wanaume tumepewa everlasting gift mpata
Wengine wasaka ngawira kama huyu Melinda ambaye Bill alimtoa kwenye umaskini wa kunuka. Period.
Mhh Melinda ametoka kwenye familia nzuri sana baba ake ni millionaire ,Bill gates yeye ndio alikuwa mtoto wa mlala hoi .Melinda ali kuwa Victorian student( Victorian ni mtu mwenye Akili saaana ) .

Steve job na Melinda walikuwa wote Wakati wa apple .Melinda akamtosa Steve Jobs akaanzisha kampuni ya Microsoft na bill gates .

Melinda anaakili zaidi ya Bill gates .Level ya Akili ya Melinda ni level nyingine .So Melinda yeye ni mwanzilishi wa Microsoft
 
Wanaume wa siku hizi hatujali. Tunakugawia kiroho safi maisha yanaendelea kama kawaida. Unatafuta kabinti kabichi pisi kali nako kaje kafaidi mali ili ukizeeka uwe umeacha Legacy ya wa kuwatoa watu kwenye umaskini.

Mali zenyewe nyingi hivyo hata ukifa bado watafaidi watu. Kwa nini usiwaachie mapema kiroho safi akiwemo uliyeishi naye muda mrefu?
Kwa hii statement yako nimeona kuna umuhimu wa kumjengea Dr Reginald Mengi sanamu pale Moshi town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom