wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunarogwa sana na wanawake

    Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k Sasa yeye mwanamke ili kuweka...
  2. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Njaa mbaya wanaume, acha tu wanawake wapende pesa

    Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa. Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohonga sana ni mitaji kwa wanawake/warembo

    Kwa ulimwengu wa sasa huu ndio ukweli, kutokana na tamaa na mahitaji ya anasa kuongezeka kote duniani; wanawake/warembo wengi hupenda kutumia njia ya mteremko, hasa pale wanapopata mtu wa kuwahonga. Ndio maana kwa hali ya sasa mtu anapendewa pesa au mamlaka aliyonayo yanayowezesha kumrahisishia...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wavulana wa soka wa Jangwani msione vibaya kuwapigia makofi wanaume wa soka wanaokipiga leo, kesho na keshokutwà dimba la kimataifa!

    Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya...
  6. vnn

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

    Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata? Hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini? Nilikua safarini nikapita maeneo flani usiku nikatafuta huduma ya dada poa nikampata kwenda chumbani kulala jamani...
  7. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

    1.Jeff 2.Matt 3.calvin 4.Alvin 5.Sydney 6.cliff 7.James or Jimmy 8.Brian 9.Dan 10.Erick
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ushamba wa kurekodi video tunapokua faragha!

    Naona hili jambo sasa lisipokemewa linazidi kukua. Leo wakati nipo ofisini katika group fulani la wenzangu nikatumiwa video jamaa akiwa na mwanamke anafanya mapenzi ni msichana mdogo tuu. Lakini cha ajabu jamaa kaficha sura yake lakini kamwanika mwanamke. Hii si sawa hata kidogo hatuwatendei...
  10. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔 Nnajiuliza kwani hili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  12. Dit000

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

    Hivi kwa nini wanawake asilimia kubwa wafupi wanapenda kuolewa na wanaume warefu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

    "Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia. Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi. Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
  15. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwani wanaume tumekufanya nini?

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Rais Samia, yaani muda mwingi anatumia kumpamba mwanamke na kutunyooshea vidole wanaume. Hii hali anayokuja nayo Rais siyo salama maana huko mbele itapelekea watanzania wasiwe na imani naye tena. Huwenda si yeye tu hata wanawake kwa ujumla atakuwa amewatia doa...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

    Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

    Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa. Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha...
  18. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi: Kabla ya kuoa, dada zetu na mama zetu wanayapokeaje mawazo ya sisi kutaka kuoa?

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku! . . niende moja kwa moja kwenye mada, kwa mara ya kwanza kusema nyumbani kuwa unataka kuoa, dada zako na mama walichukuliaje?. . . binafsi mimi ni kijana wa miaka 30 kwa sasa, nina mchumba tayari, lakini imekuwa kila nikisema nyumbani hata kwa...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Vinyozi wapigwa marufuku kuwanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume

    Wapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku , vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini humo kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu. ‘’Mtu yoyote anayekiuka sheria hiyo ataadhibiwa’’ , Askari wa Taliban wamesema. Baadhi ya vinyozi katika mji wa Kabul...
  20. Karot

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tuweni makini na hawa wanawake wanaojiuza mitandaoni

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Kichwa cha habari chajieleza hapo juu... Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake. Nina mfano mmoja, kuna...
Back
Top Bottom