Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

matics

Senior Member
Aug 18, 2019
133
80
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka?

Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
 
Wanaume huwa hatupend kushare kwaiy mwanamke akicheat anakuwa ameonesha dharau sana
Mwanaume akicheat huwa tunahesabu tu kama ni haki kufanya ivyo ila mke akifanya ivyo ni kosa kwasabab wew ndy unamtunza,
Hata na yeye anakutunza mfano,kukupikia,kukufulia,kukuuguza ukiumwa,
 
Back
Top Bottom