Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
661
686
Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee.

Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani .

Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga mitandio kiukweli mimi kama mpangaji mwenzao inanipa wakati mgum ingawa ninaroho nzito binafsi siwez kumuomba utamu.

Ndugu zangu kilichonishangaza ni huyu mwanamke anaongea na wanaume wengine mbele ya mumewe na mumewe kakaa kimya imenisikitisha sana .

Ndugu zangu pia huyu mwanamke huchukua hatua zaidi kuonana na hao wanaume sijui.kama huwa wanafanya lakini nilishamshuhudia pale namnani hotel akiwa na mwanaume na huwa anarudi nyumabi.saa 6 usiku mwanaume anamfungulia .Mme wake nimepeleleza kazi yake ni mwalimu wa shule ya msingi .

Vijana tutafute pesa huuu upuzi sitaki kuusikia hasa kwa vijana mliopo huku mnaojiita greet thinker
 
Mkuu waache na maisha yao. Kama haikuathiri wewe kama wewe waachie tu maisha yao. Ikiwa mume hajalalamika we jipigie kimya tu.

Kuna milion formulas za maisha na zote ziko unique, kila mtu afate inayompendeza maisha yatakuwa na maana sana.

Kwa kuwa hukumchangia mshkaji mahari kumuoa huyo mama, kwa kuwa akirudi saa 6 usiku anamgongea mumewe na sio wewe na kwa kuwa akiongea na hao wanaume wengine anatumia simu yake si yako na pia hata huko namnani alienda kwa nauli yake na alipeleka mwili wake hakukuomba ukamsaidie mi nadhani wewe komaa na kazi yako ya muda iliyokupeleka Dar ukimaliza baada ya mwaka jirudie zako ulikotoka tu umuwahi mamsap ambae haongei na wanaume wengine mkuu
 
Kama mume wake hachukizwi na hiyo tabia inakuwaje wewe jirani uumie?.

Pia sio kosa mke kuongea na mwanaume mwingine kama ni mazungumzo ya kawaida tu na kuhusu kurudi saa sita usiku labda anafanya kazi Bar na huo ndio muda wa kurudi toka Kazini.
 
Mke wangu huongea na wanaume wengine tena tuwapo kitandani .
1 baba yake alimpigia na wakazungumza
2 kaka yake mkubwa alimpigia usiku saa 3 na akapokea
Tena wanaume wengine hutumia sim yangu kuongea na mke wangu.... Mjomba wangu mdogo wangu...binam yangu....

hii tabia kumbe ni mbaya sana......

Mkuu waache na maisha yao. Kama haikuathiri wewe kama wewe waachie tu maisha yao. Ikiwa mume hajalalamika we jipigie kimya tu.

Kuna milion formulas za maisha na zote ziko unique, kila mtu afate inayompendeza maisha yatakuwa na maana sana.

Kwa kuwa hukumchangia mshkaji mahari kumuoa huyo mama, kwa kuwa akirudi saa 6 usiku anamgongea mumewe na sio wewe na kwa kuwa akiongea na hao wanaume wengine anatumia simu yake si yako na pia hata huko namnani alienda kwa nauli yake na alipeleka mwili wake hakukuomba ukamsaidie mi nadhani wewe komaa na kazi yako ya muda iliyokupeleka Dar ukimaliza baada ya mwaka jirudie zako ulikotoka tu umuwahi mamsap ambae haongei na wanaume wengine mkuu
mkuuuu nakushukuru kwa ushauri mkuu
 
Mke wangu huongea na wanaume wengine tena tuwapo kitandani .
1 baba yake alimpigia na wakazungumza
2 kaka yake mkubwa alimpigia usiku saa 3 na akapokea
Tena wanaume wengine hutumia sim yangu kuongea na mke wangu.... Mjomba wangu mdogo wangu...binam yangu....

hii tabia kumbe ni mbaya sana......
mkuuu mazungumzo ya mapenzi
 
Back
Top Bottom