Wanaume wengi wamegeukia upigaji mitungi na kuachana na mademu ili kuondoa stress

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,319
2,000
Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana.

Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu kulala. Kama kupunguza uzito mtu anatafuta kazi ya muda tu au hakuna kuwekeza kabisa.
 

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
18,786
2,000
Ni kweli lifestyle zimebadilika, watu wengi wamekata tamaa za ndoa na kuishi aina ya maisha waliyotarajia

Siku hizi hata kwenye ndoa unakuta Mume anamficha Mkewe mambo ya muhimu kuhusu miradi, biashara, mali n.k na mke naye vivyohivyo

Kuhusu kugharamia pia Wanaume wengi wameacha, ukisomesha unakuta unamsomeshea mwanaume mwenzio, unampa Mwanamke zawadi flani anaenda kutumia na Mwanaume mwingine tena huku akikusema vibaya kwa huyo Mwanaume hata kama hujamkosea

Unaishi na Mke mara anakuzalia Mtoto au watoto wasio wakwako.

Kuaminiana kama zamani hakupo tena kwakweli.
 

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,316
2,000
Ulishagharamia demu alafu ukamfumania anatoka geto...
Me maswala ya mademu nishapiga chini kitambo saivi rafiki yangu ni Lite

1618772888371.png
 

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
3,481
2,000
Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu kulala. Kama kupunguza uzito mtu anatafuta kazi ya muda tu au hakuna kuwekeza kabisa.
Mkuu hii issue umeongea imenigusa sana. Ki ukweli kabisa nina ushahidi wa watu wengi sana wamehamia kwenye pombe tu wameachana kabisa na mambo ya wake au mahusiano. Yaani mtu anaenda home kulala tu ,
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
23,934
2,000
Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu kulala. Kama kupunguza uzito mtu anatafuta kazi ya muda tu au hakuna kuwekeza kabisa.
Ilikuaje hukuoa hao wa zamani? Wa siku hizi ni kuanzia mwaka gani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom