Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,188
4,100
Habari wana MMU,

Nataka kusema na wanaume, mtu ukimuomba namba ya simu akikukatalia elewa tu kuwa umekosa jamani sio unalazimisha utadhani unamdai mtu khaa.

Namba umekosa unaanza kumfata mtu unalazimisha uende anakokwenda akisimama unasimama akikatisha upo na maswali kama polisi kwani lazima akubali tongozo lako?

Mtakuja pigwa bure shauri yenu.
 
Kuombwa namba haimaanishi moja kwa moja anakutaka kimapenzi,na uyo unamkatalia namba bado anakufuatilia sio mwanaume ,ni mvulana.genteleman yoyote hawezi kua hivyo
 
Sisi ndo watongozaji, tunajua mengi kwenye idala hiyo kuliko nyie watongozwaji. Kwahiyo tuache tuendelee kuitenda kazi yetu kiweledi.

We unashangaa kukataliwa namba ya simu wakati watu tulifunguliwa mbwa na bado mzigo tukala.
Kama unajiona mgumu nitumie namba yako dm uone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom