Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabila la wamaasai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za Leo wakuu,
Naomba kujua swali hili

Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabira la wamasahai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?
 

Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabila la wamaasai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?​

 
Wamasahai= Wamaasai

Tunatahiri vijana miaka saba mfululizo na kupumzisha zoezi Hilo kwa miaka saba pia ili kupisha vijana wengine wakuwe kwani sisi hatutahiri watoto wadogo. Hiyo likizo ya miaka saba bila kutatahiri ndiyo hutumika kutenganisha rika moja na lingine
 
Ahsante sana mkuu
Wamasahai= Wamaasai

Tunatahiri vijana miaka saba mfululizo na kupumzisha zoezi Hilo kwa miaka saba pia ili kupisha vijana wengine wakuwe kwani sisi hatutahiri watoto wadogo. Hiyo likizo ya miaka saba bila kutatahiri ndiyo hutumika kutenganisha rika moja na lingiAhsante
 
Binafsi nilipelekwa jando nikiwa darasa la nne nikiwa na miaka kama kumi hivi, kwa hiyo hakuna umri maalam isipokuwa mtoto mdogo
Bas wee ulikuwa unaumwa lawalawa wamasai wanatahiri kichwa CYO mboo ili kutahiriwa inakupasa kujielewa wee Ni Nani
 
Back
Top Bottom