wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

    Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine. Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuna kilio kikubwa sana. Je, nani wa kutusikiliza?

  3. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!! Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
  4. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Wanaume walalamikia uchafu wa wake zao

    Kutoka Kijiji cha Kagumoini, eneo bunge la Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamikia wakidai kuwa wake zao ni wachafu kupindukia. Wanaume hao wanalalamika kuwa wake zao wanashindwa hata kubadilisha nguo kwa zaidi ya wiki moja, hali ambayo inachochea ndoa nyingi kuvunjika...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Mbunge asema wanawake watapigana kama wanaume

    Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao kama wanaume. Ukraine ilitangaza kuwaua wanajeshi 1000 wa Urusi. Hata hivyo asubuhi ya Februari 26...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

    Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...
  8. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake wetu wasomi, bado hatuelewi nini wanataka

    Wasaalam Wakuu, Leo asubuhi nilidamka mapema , wakati huu nilikuwa natoka kibaruani wakati najongea mdogo mdogo nyumbani nikapanda hewani nikampigia Mama, naam mama daVinci XV ,Nilimpgia asubuhi kwa sababu Mosi , ni Mila na Desturi zangu kumtaka hali kila uchao lakini pili nlitaka kuchota...
  9. love life live life

    JamiiForums Tanzania Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

    Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani. Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi...
  11. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawana kitu kingine cha kuwapa wanaume tofauti na ngono

    To be honest, wanawake hawanaga lolote la kutufaa sisi wanaume kwenye mahusiano apart from sex.Yaani kutwa kucha tupo kuwahangaikia Wanawake eti kisa utelezi tu.Unajikuta umevutiwa na mwanamke unafall in love naye ukidhani utakusaidia kwenye Mambo mengi kando na kukupa mbunye tu kumbe...
  12. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume si lolote mbele ya wanawake?

    Nımeona quote moja huko twitter ambayo imekuwa popular na watu wengi wanaisapoti. Hiyo quote inaonekana inatoka kwenye movie inayoitwa love tactics huko netflix. Quote inasema " Wanaume wana control dunia, Wanawake wanawa control wanaume alafu wanawake wanakua controlled na hormones" Ivi ni...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wanaume acheni woga pimeni tezi dume, kuna vifaa vya kisasa

    TATIZO la saratani nchini limetajwa kuongezeka kwa kasi, ikibainishwa kuwapo wagonjwa wapya 42,060 kwa mwaka huku 28,610, sawa na asilimia 68 hufariki dunia kutokana na ugonjwa huo. Taarifa za mwaka 2021 za Taasisi ya Saratani Ocean Road zinaonyesha saratani zinazoongoza kwa wanaume ni tezi...
  15. yuda75

    JamiiForums Tanzania The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti

    Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa kizungu wana pisi kali za kiafrika lakini wanaume wa kiafrika wapo na kina bibi / wanawake wa kawaida wa kizungu

    Kiukweli huwa nashindwa kung'amua hili jambo. Unaweza kukuta mzungu wa kawaida kabisa anaweza kutoka na pisi kali ya kiafrika lakini mwanaume wa kiafrika ambaye yupo vizuri tu atajisifia ku date hata na bibi wa kizungu ilimradi ka date na mzungu. Yani kwa lugha rahisi mzungu anaweza kumpata...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  18. mama D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

    Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science. Mwanasaikolojia...
  19. karv

    JamiiForums Tanzania Wenye michepuko mingi na ngono zembe mnahatari ya kupata saratani ya via vya uzazi kwa wanaume

    SARATANI YA UZAZI KWA WANAUME Upande wa Mwanaume Kuna Aina nyingine tofauti tofauti za kansa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume Kama ilivyo upande wa mwanamke. Kuna Aina tatu (3) ambazo mara nyingi hutokea au humpata mwanaume kwenye via vyake vya uzazi (mfumo wa uzazi). ✓ Saratani ya kibofu...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kosa wanalofanya wanaume kwa wapenzi wao

    Dunia imejaa upotoshaji. Na jambo Moja ambalo limepotoshwa na kuzani kuwa ukimhudumia mwanamke na kumpatia pesa nyingi ndio silaha ya kumtuliza. Huu ni uongo mkubwa na ndo maana Kila Leo Kuna drama nyingi za wanawake unaowaona wako well-of kudate au kucheat na wanaume wa kawaida tu. Ukweli...
Back
Top Bottom