Wenye michepuko mingi na ngono zembe mnahatari ya kupata saratani ya via vya uzazi kwa wanaume

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
SARATANI YA UZAZI KWA WANAUME

Upande wa Mwanaume Kuna Aina nyingine tofauti tofauti za kansa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume Kama ilivyo upande wa mwanamke.

Kuna Aina tatu (3) ambazo mara nyingi hutokea au humpata mwanaume kwenye via vyake vya uzazi (mfumo wa uzazi).

✓ Saratani ya kibofu (prostatic cancer)
✓ Saratani ya Makende/mapumbu (Testicular cancer)
✓ Saratani ya Uume (Penile cancer)

Kati ya Aina hizi ya saeatani za uzazi wa mwanaume ya Saratani haitokei mara kwa mara. Mara nyingi Kama ikitokea huwapata sana watu wa bara la afrika.

Aina zingine zinatokea mara chache sana na sio mara kwa mara. Mara nyingi Wanaume wengi hupata Saratani ya tezi dume.

CHANZO CHA SARATANI ZA UZAZI WA MWANAMME.

CHANZO CHA SARATANI YA KIBOFU

Saratani ya kibofu inaweza kutokea tu punde baada ya mgonjwa kuwa na tatizo la saratani ya Tezi dume.
Ni mara chache sana wagonjwa huanzia hatua ya chini hadi hatua ya juu ambayo ni ngumu kutibika.

Tafiti pia zinasema watu wengi wanaugua tatizo hili kwa sababu ya ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi kwa mida mrefu ambapo tatizo linakuja kujitokeza baadae akiww na Umri mkubwa kuanzia miaka 50 na kwendelea baada ya mvunjiko mkubwa na was mda mrefu wa chembechembe za mwili kwenye tezi za prosteti, na polepole huanza kuuathiri na kutengeneza Saratani.

Hizi ni moja ya sababu zinazompelekea mwanaume kuwa kwenye hatari ya kupata Saratani ya kibofu
✓ Umri mkubwa zaidi ya miaka 50
✓ Kuwa na mwanafamilia aliyewahi kuwa na tatizo Kama hilo. Huanza kidogo kidogo kadri muda na mwiaka inavyoongezeka ndivyo na tatizo huendelea kujitokeza

DALILI ZA SARATANI YA KIBOFU
✓ Kushindwa kuzuia mkojo/kupata shida ya kutoa mkojo
✓ Maumivu ya nyonga/chini ya tumbo wakati wa kukojoa
✓ Kupata Maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo
✓ Kutokwa na damu wakati wa kukojoa
✓ Kukojoa mkojo mwingi
✓ Kushindwa kuzuia mkojo

UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIBOFU.
✓ Rectal exam kipimo kinachotumika kuchunguza tezi ya prosteti (kibofu)
✓ Non specific antigen (ASP) Ni kipimo cha damu kinachotumika kuchunguza Protini kudhibitisha uwepo wa kansa au Saratani ya tezi dume.

MATIBABU YA KIBOFU
Matibabu ya Saratani ya kibofu inahusisha na hutegemea Hali/hatua ya tatizo lilipofikia Moja ya Aina ya Matibabu ni Kama..
✓ Upasuaji kuondoa tezi ya kibofu inapokuwa katika hatua ya mwanzo
✓ Matibabu ya Kutumia mionzi (Radiotherapy)
✓ Chemotherapy
✓ Matibabu ya Homoni (hormone therapy)

CHANZO CHA SARATANI YA MAKENDE/KORODANI
Watu wanaopata Saratani ya makende Huwa Ni la kuzaliwa nalo.
✓ Tatizo la Saratani ya makende huanzia pale mtu anapozaliwa na tatizo la makende, ambapo ndipo hupelekea kupata Saratani
✓ Kupata ajari unaohusisha makende

DALILI ZA SARATANI YA MAKENDE/KORODANI
✓ Maumivu ya makende
✓ Kuvimba kwa makende
✓ Kuwhisi miwasho chini ya tumbo
✓ Kuwa na mfadhaiko

UCHUNGUZI
Daktari atafanya Vipimo vifatavyo kuangalia tatizo na kujirithisha
✓ Kipomo Cha damu
✓ Kuchukua kinyama sehemu iliyoathirika (Biopsy)
✓ Kipimo Cha Ultrasound scan
✓ Uchunguzi wa moja kwa moja

MATIBABU YA SARATANI YA MAKENDE/KORODANI
Matibabu ya Saratani ya makende hufanyika kwa
✓ Upasuaji kuondoa kende lililoathilika kwa Saratani.
✓ Matibabu kwa njia ya mionzi (Radiotherapy) au
✓ Chemotherapy

CHANZO CHA SARATANI YA UUME
Tafiti nyingi zinaonyesha kwamba watu wengi wanapata Saratani ya Ume kwa sababu ya….
✓ Maambukizi ya human papilloma virus (HPV)
✓ Kuwa na wapenzi wengi ( michepeko) na Ngono zembe.
✓ Kushindwa kukidhi usafi kwa sababu ya kutokutahiliwa.
✓ Kuwa na Umri zaidi ya miaka 60
✓ Kuwa wapenzi wengi/Ngono zembe (Michepeko)

DALILI ZA SARATANI YA UUME
✓ Ume kubadilisha rangi nakuwa Nyekundu
✓ Kuvimba kukiambatana na Maumivu
✓ Mfadhaiko/usumbufu

UCHUNGUZI
✓ Biopsy (Kuchukua kinyama na kukifanyia uchunguzi)
✓ Kipimo Cha picha kujiridhisha kama X-RAY

MATIBABU
Matibabu ya Saratani ya Uume huweza kutibiwa kwa njia hizi zifatazo baada ya majibu na kujiridhisha kuwa ni kansa.
✓ Upasuaji
✓ Matibabu ya Kutumia mionzi Radiotherapy
✓ Chemotherapy

Kumbuka: Watu ambao wana michepuko mingi na wanafanya Ngono zembe wako katika hatari kubwa kupata Kirusi Aina ya Human papilloma virus (HPV) ambacho kinahusishwa kuwa sababu kubwa na chanzo kikubwa Cha Aina hizi za Saratani za mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke.
 
Usituishe bhana. Saratani inaua hata na maparoko. Alafu kufa kuko pale pale uchepuke usichepuke.

Tusitishane!
 
Ahsante kwa somo zuri.
Suala moja ni matumizi ya neno kibofu/bladder. Na ili kubeba ujumbe halisi ni inabebeshwa neno urinary bladder au kibofu cha mkojo.

Tezi dume/Prostate vs Kibofu/urinary bladder.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom