Kitu ambacho nimegundua,
mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe.
NB: SIJAZUNGUMZIA...
Kama kichwa cha thread kinavyosema..
Wanaume Mungu anawaona!!
Yani unakuta nguo za kike kwa mwanaume wako afu anakwambia eti ni za dada anaemsaidia kufanya usafi kwake!😥
Haya basi achana na hilo, sku nyingine unampigia sim unaambiwa inatumika baadae mtu anakwambia alikua anaoga!😂
Sio mpango...
Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume
Tuanze na
MAUMBILE
Mwanamke
Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake.
Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake.
Kuna Mwanaume Mmoja...
Nilijiwekea msimamo wa kuoa mwanamke mwenye bikra, ila nikajikuta nakuwa mfuska wa kubadili wanawake kwa kutafuta kitu ambacho kiuhalisia kwa Tanzania Sasa hivi ni nadra. Wanaume wenzangu tambueni kuwa kwa Sasa hii kitu ni adimu wanawake hawajitunzi tena.
Niseme sijui mnaokutaga bikra mnapataga...
Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto.
IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto.
( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. )
Kabla sija elezea mbinu...
SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!.
Na, Robert Heriel.
Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula...
Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure.
Wanaume hawa wamekua washauri wetu wazuri wa nywele za kutumia kwa style mbali mbali.
Tunashukuru mchango wa makaka hawa katika mzunguko...
Baadhi ya wanaume mkoani Shinyanga wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwamo kupigwa na kupigwa na wake zao.
Hayo wameyasema Jumanne Desemba 7, 2021 wakati wakipewa elimu ya ukatili wa kijinsia na dawati la jinsia la polisi katika stendi ya mabasi wilayani Shinyanga...
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya wanaume kukimbia ujauzito na kutelekeza watoto pasipo sababu za msingi. Ukizingatia kuwa mwanaume ndiye aliyemshawishi mwanamke kwa kinywa chake mwenyewe kwamba washiriki tendo la ndoa.
Wanawake wamekuwa mstari wa mbele kuhimiza matumizi ya kinga huku...
Habari wana jamii,
Nimekuwa nikiona humu ama katika maisha halisi wanaume tumekuwa tukilalamika zaidi kuhusu wanawake katika mapenzi. Iwe kwenye ndoa ama mapenzi tu yakawaida, wengi utakuta wanaume ndio walalamikaji juu yavitendo vya wanawake.
Nimeshakaa na watu wenye ndoa zao na wamenionya...
Habari Wana jamvi,
Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?
Ladies take note
Ukizungumza unyanyasaji wa kijinsia wengi huwaza wa upande mmoja, kwamba ni dhidi ya mwanamke lakini uhalisia ni tofauti kwani hata wanaume hunyanyaswa isipokuwa si wepesi kuzungumza.
Hayo yalielezwa mapema wiki hii wakati wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia lilioandaliwa na Norwegian...
Miaka ya 2000 kwenda mbele wimbi la wanaume wamepunguza kuwatongoza na tena kipindi hiki cha mama ndio kabisa.
Tunafahamu wanawake wana mambo mengi wanayo hitaji ila kwa sasa ni too much kwa miaka hii.
Zamani mwanaume aliweza kumudu wanawake hata watano na wote kuwa mudu kiuchumu.
Ila sasa...
Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli.
Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia
Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata...
Hamisa Mobetto hana furaha hii baada ya kupitia kwenye mtandao wake wa kijamii kuwakashifu watu wanaomhusisha na hadithi ambazo hajui chochote kuzihusu.
Anasema kwamba wale wanaomhusisha na wanaume ambao hawachumbii wakome.
Kwa maana hafurahishwi na watu hao wanaounganisha picha yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.