Najua sisi ndio tuna pesa za kununua Mabando pia najua 80%Ya Nyuzi Zilizopo humu Hasa kipindi hiki ni za kwetu sisi Mens..Ila sio Mbaya tukipumzisha vichwa vyetu tuweze kutafakari japo siku moja hizi Nyuzi tunazoandika humu,Nahisi kama tumechoka hivi Au mimi ndio naona peke yangu!! Ahsanteni...
Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time.
Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love.
Kama ukioa for ur personal interests basi...
Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba.
Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
Nimekaa nikawaza sana kuhusu hili na naamini wanaume tuna deserve free pass ya kwenda mbinguni kwa baba 😊kwasababu:
1. Tunarogwa na wake zetu tusichepuke
2. Tunarogwa na michepuko yetu tuijengeee na kusahau familia zetu
3. Tunarogwa makazini
4. Tunarogwa ukweni tusiwe na sauti kwenye familia...
Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha 63, mume anatakiwa kumtunza mke wake kwa kuhakikisha anatafuta kipato na pia anamtunza vizuri nyumbani kwa kuhakikisha mke ameishi mahala pazuri na safi, kwakuhakikisha mke amepata chakula na sio vitu vya kupika, na pia kuhakikisha mke ana...
Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa.
Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
TGIF,
Hi guys
Naomba niulize wanaume swali ambalo laweza kuwa la kijinga ila kwetu sisi wanawake lina mantiki kubwa sana. Hii hasa ni kwa wale baadhi ya wanaume ambao wapo tayari kwenye Ndoa na Mahusiano committed lakini huko nje wanaruka ruka zao kama popcorn!
Hivi huwa mnawachukuliaje...
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.
Yaani...
Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G.
Pointi ipo hapa...
Mke (hasa hasa hawa wake zetu wa kiswahili) akimgombeza dada wa kazi (house girl ) kwa jambo...
Habari!
Kuna mambo hayabadiliki na hayataweza kubadilika karne na karne. Labda binadamu sisi tuliopo tuondoke duniani na kuja kizazi kingine.
Jambo ambalo wanaume wengi hawalijui ni kwamba " wanaume hawachepuki, hawacheat na hawapaswi kusalitiwa na mwanamke"
Suala la mwanaume kuwa na mke au...
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa.
Basi jamaa katupigia simu na...
Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka kuhudumiwa(pesa) ili awe safi na mwonekano bora ambao mwanaume anautaka.
Sasa kilichonileta ni kutaka kujua toka...
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,
Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,
Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa...
Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga.
Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .
Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim .
Je. wewe unaweza tishia?
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.
Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.