Leo nimekutana na kituko cha mwaka aisee, nilikuwa maeneo ya Sinza napata chakula cha mchana ghafla jamaa akaja na mtu anakibeg mgongoni akakaa kwenye kitu huku wakiangaliana.
Baada ya muda akanyoosha mguu na kuweka kisturi kidogo kilichokuwa pale si akaanza kumkata kucha na kumsugua miguu. Dah...
Habari za wakati huu wapendwa.
Naomba nitoe ujumbe mfupi kwa wanaume wote ambao mpo kwenye ndoa na wake zenu na umepata uhamisho au ni mtu ambaye kazi inakuweka bize sana.
Kama umepata uhamisho hama na mkeo ukapange huko huko muishi wote kama n mtu wa safari jitahidi kwa mwezi hata mara 3...
Hi guys,
Hope mpo sawa,
Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui!
Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa...
Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri...
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima
Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1
Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri...
Hili ni tusi la kiutu uzima. Ingawa dada huyu alikuwa anaongea kama utani lakini she was making alot of sense.
Ni hivi tulikuwa kwenye kikao cha harusi bar. Akapita jamaa AKASEMA anauza Dawa ya nguvu za kiume...
Licha ya kujibiwa kwamba we are not interested but akawa anaendelea kujinadi...
Wadau hili neno mfumo dume kwa hapa Tanzania tunapaswa kulifuta haraka ,.tukiendelea kulichekea ni muda mchache imebaki wanaume tutaanza kuandamana kupinga mfume jike. Kwa Sasa inaonekana sisi wanaume ni majitu ya hovyo na makatili sana.
Hatupewi hata heshima ya asili tuliyopaswa kupewa,iwe...
Ni miaka miwili sasa tangu virusi vya Covid vigundulike duniani na baadaye kuwa janga, lakini ni sasa ambapo uwezekano wa athari za ugonjwa huu kwa uwezo wa kuzaa wa wanaume zimefichuliwa.
Ingawa kuna baadhi ambao hawajapata chanjo kutokana na hofu kwamba chanjo dhidi ya Covid-19 itapunguza au...
Wana jf
Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni usiovumilika. Kuna siku nilienda kumwona live MamaJ, uwezi amini mgahawa wake unajaa watu, alafu wanaomba namba...
Wakuu wa ukumbi huu hemu tujielekeze hapa pia., Mkuu alitwambia wale wenye Stress za 2025 atawapa nafasi zaidi akimaanisha atawaweka pembeni ili wakajiandae zaidi., nataka kufahamu hakuna Mawaziri ambao ni kina mama waliojiingiza kwenye hizo Stress za 2025? nimeona sura 5 sijuwi 6 tu, Lukuvi...
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume.
Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd
Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali...
Polisi nchini Kenya wanamshikilia Joyce Aluta wa Mombasa kwa kosa la kuwawekea Wanaume dawa za kulevya kwenye pombe na kisha kuwaibia vitu mbalimbali kama simu, saa na wallet.
Joyce anadaiwa wakati mwingine kujifanya Kahaba na kisha akiondoka na Mteja mpaka nyumbani kwake huondoka na TV, Radio...
Wanabodi nimekutana na hii habari kutoka ITV kiukweli imenifanya nimfikirie sana namna ambayo jamii inazodi kuharibika.
Wanawake wamekuwa wakilaumu wanaume kuwa wanawanyanyasa, sasa huu UKATILI ni wa mwanamke dhidi ya mwanaume.
Kuna mwanamke amemwagia maji ya moto mumewe ambae ni mwalimu huko...
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila...
Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu.
Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi.
Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
Merry Christmas Dears,
Ndugu zetu wa kiume mliooa, naombeni mnisaidie kunifahamisha kitu gani huwa kinafanya baadhi yenu mrudishe attention kwa kasi kwa washikaji zenu (hasa wa kike) miezi kadhaa baada ya kuoa na wakati miezi ya awali huwa mnawafungia vioo na kuwapotezea kabisa, baada ya muda...
Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida.
Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.