Kosa wanalofanya wanaume kwa wapenzi wao

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,491
Reaction score
2,563
Dunia imejaa upotoshaji.

Na jambo Moja ambalo limepotoshwa na kuzani kuwa ukimhudumia mwanamke na kumpatia pesa nyingi ndio silaha ya kumtuliza.

Huu ni uongo mkubwa na ndo maana Kila Leo Kuna drama nyingi za wanawake unaowaona wako well-of kudate au kucheat na wanaume wa kawaida tu.

Ukweli ni kuwa mwanamke haitaji pesa nyingi Ili atulie. Mwanamke anahitaji kusaidiwa kujitambua tu na kumsaidia kufukuzia ndoto zao za maisha.

Kumlea mke au mpenzi kama mdoli. Muda wote unataka kumsisimua mwili, kuspoil mind yake na pesa , zawadi za magari , nyumba na party za kila anapofeel Yuko bored ni kumharibu na kumrogo awe tegemezi na mtu asiyefaa kitu zaidi ya kutengeneza utelezi na mwonekano.

Wanawake wote wanaovutia na kutulia wote wanajitambua na wanaishi maisha yenye purpose. Akili zao zimetulia , wako focused, Wana furaha na amani na wanapenda kuona wao wakiwa walezi wa familia .

Nimemaliza, njooni and prove me wrong.
 
Wanakuja ila ambua kila mtu ana jambo analotaka kwa aliyenaye na usipolijua ndio hivyo machungu yaanza.. cha muhimu ni kujua huyu uliyenaye anataka nini kwako ili umtimizie
 
Dunia imejaa upotoshaji.

Na jambo Moja ambalo limepotoshwa na kuzani kuwa ukimhudumia mwanamke na kumpatia pesa nyingi ndio silaha ya kumtuliza.

Huu ni uongo mkubwa na ndo maana Kila Leo Kuna drama nyingi za wanawake unaowaona wako well-of kudate au kucheat na wanaume wa kawaida tu.

Ukweli ni kuwa mwanamke haitaji pesa nyingi Ili atulie. Mwanamke anahitaji kusaidiwa kujitambua tu na kumsaidia kufukuzia ndoto zao za maisha.

Kumlea mke au mpenzi kama mdoli. Muda wote unataka kumsisimua mwili, kuspoil mind yake na pesa , zawadi za magari , nyumba na party za kila anapofeel Yuko bored ni kumharibu na kumrogo awe tegemezi na mtu asiyefaa kitu zaidi ya kutengeneza utelezi na mwonekano.

Wanawake wote wanaovutia na kutulia wote wanajitambua na wanaishi maisha yenye purpose. Akili zao zimetulia , wako focused, Wana furaha na amani na wanapenda kuona wao wakiwa walezi wa familia .

Nimemaliza, njooni and prove me wrong.
MPAKA LEO HII MWANAMKE HAELEWEKI ANATAKA NINI
 
Kama vile namuona mtoa mada[emoji1]
JamiiForums1779766864.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia imejaa upotoshaji.

Na jambo Moja ambalo limepotoshwa na kuzani kuwa ukimhudumia mwanamke na kumpatia pesa nyingi ndio silaha ya kumtuliza.

Huu ni uongo mkubwa na ndo maana Kila Leo Kuna drama nyingi za wanawake unaowaona wako well-of kudate au kucheat na wanaume wa kawaida tu.

Ukweli ni kuwa mwanamke haitaji pesa nyingi Ili atulie. Mwanamke anahitaji kusaidiwa kujitambua tu na kumsaidia kufukuzia ndoto zao za maisha.

Kumlea mke au mpenzi kama mdoli. Muda wote unataka kumsisimua mwili, kuspoil mind yake na pesa , zawadi za magari , nyumba na party za kila anapofeel Yuko bored ni kumharibu na kumrogo awe tegemezi na mtu asiyefaa kitu zaidi ya kutengeneza utelezi na mwonekano.

Wanawake wote wanaovutia na kutulia wote wanajitambua na wanaishi maisha yenye purpose. Akili zao zimetulia , wako focused, Wana furaha na amani na wanapenda kuona wao wakiwa walezi wa familia .

Nimemaliza, njooni and prove me wrong.
inategemeana na mazingira ya huyo mwanamke na vpaumbele vyake
 
Kumspoil mwanamke wako raha sana, swali je siku ukishindwa kumspoil ,kumpa zawadi,parties, nk.je atabaki au ndio utaachwa unang'aa macho?Ndoa za siku hizi mume akifilisika na ndoa inakufa kwa misingi hii.Hamna mwenye guarantee ya kuwa mzima wa afya siku zote,au kuwa na hiyo ajira sikuzote maisha ni fumbo.
 
Ndoto za mwanamke Ni?
 
Kama unalijua hili basi uko a few steps to get a love of your life! Usitengeneze mahusiano katika misingi ya hela yani hakikisha kinachoku connect na demu wako sio pesa kabisa.

Hii itakusaidia hata siku ukiwa huna asikuone hufai au wa tofauti.
 
Mimi kinacho ni connect ni sex tu. Hutoi sex nakupiga chini. Mambo ya kunipa ugwadu kwa ratiba umenifanya nipige chini wengi. Kuna mmoja mpaka leo haamini mhuni nimemkatia waya. Maana alikua sio poa kwenye sekta yetu ya ujenzi, na alijua mhuni nimeoza. Siku nilipobwaga hakuamini
Nakumbuka alisema tu we katili sana.
Yaan umatemate nikupe bado mbunye mpaka ujisikie. No way!
 
Alifeli huyo malaya! Mbunye ni compulsory😅😅😅 all jokes aside
 
Kabisa aisee. Mie hata unibembeleze na kunijali vipi bila mchezo sikuelewi kabisa. Huyo alikua aniletea pigo mapenzi sio sex tu. Nikampa za tinted. We shori limenona mamaye halafu nipate show za vipindi we ulisikia wapi
 
Akapiga nyama chini
 
Back
Top Bottom