Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
1643627083059.png

Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa

Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science.

Mwanasaikolojia huyo anasema kadri mwanaume anavyokuwa Smart(makini) na mwenye akili kubwa ndivyo uwezekano wa yeye kuchepuka unavyokuwa mdogo. Mwanaume mwenye akili kubwa huwa ni nadra kumsaliti mpenzi wake.

==========

London: Deceitful and despicable is one description that wronged wives could apply to their cheating husbands.
Plain stupid is another. For scientists have concluded that men who sleep around are likely to have lower IQs.

It is a finding likely to prove of interest to Cheryl Cole as she contemplates her errant partner Ashley's unfaithful ways.
Dr Satoshi Kanazawa, an evolutionary psychologist from the London School of Economics and Political Science, said the smarter a man is, the less likely he is to cheat on his partner.

His theory is based on the assertion that through evolutionary history, men have always been "mildly polygamous".
That has changed today, however, and Dr Kanazawa explained that entering a sexually exclusive relationship is an "evolutionarily novel" development for them.

According to his theory, intelligent people are more likely to adopt what in evolutionary terms are new practices — to become "more evolved". Therefore, in the case of fidelity, men who cannot adapt and end up succumbing to temptation and cheating are likely to be more stupid.

"The theory predicts that more intelligent men are more likely to value sexual exclusivity than less intelligent men," he explained.
According to his theory, the link between fidelity and intelligence does not apply to women because they have always been expected to be faithful to one mate — even in polygamous societies.

Dr Kanazawa's research, in the journal Social Psychology Quarterly, also claims that intelligent people are less likely to believe in God or hold conservative views.

Primitive
Analysing the American National Longitudinal Study of Adolescent Health, he found young adults who regarded themselves as "very liberal" had an average IQ of 106, while those who saw themselves as "very conservative" had an average IQ of 95.
Dr Kanazawa's theory holds that selfinterested-conservative attitudes are primitive in evolutionary terms, while selfless, liberal views are more advanced and linked with intelligence.

Similarly, those who identified themselves as "not at all religious" had an average IQ of 103, while those who saw themselves "very religious" had an average IQ of 97.

According to Dr Kanazawa, that is down to people who are smarter being more open to new ideas.
"Humans are evolutionarily designed to be paranoid...

"This innate bias towards paranoia served humans well when self-preservation and protection of their families and clans depended on extreme vigilance to all potential dangers. So, more intelligent children are likely to grow up to go against their natural evolutionary tendency to believe in God and they become atheists."


Eti wanaume hii ni kweli hii?
 
London School of Economics and Political Science haijawahi kuwa na wasomi wa maana kwanza ni taasisi ya elimu ambayo inachukuwa watu waliofeli na kuwaendeleza.

Mambo ya wanaume tulishasema hayafanyiwi utafiti na wanaume wenzetu. Huyu nina wasiwasi naye atakuwa si mwanaume.
 
Ah wapi. Kuna mtu kachitiwa huko sasa ana hate.

Wawe na IQ ndogo afu wanawapangaje wanawake kutoka hapa mpaka Chalinze na wasigundue?
Mwanaume Akili ndogo hawawezi kua multifunctional.

Kwanza ukiwa na mchepuko
(Tena mungu akujalie awe pasua Kichwa ) akili ya kutafta na kucheza na akili yake itaongezeka,

Automatically
Utakua na mzigo mkubwa wa watu wanaokutegemea kwa mahitaji yao, ili kutimiza haja zako

Obviously iq yako itachanganya fasta Sana kuliko Yule mwenye mmoja.
 

Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa

Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science.
Sio kweli maana ktk kufanikisha mchakato mzima wa kuchepuka lazima mhusika awe na akili ya kucheza na akili ya mkuu wa makazi na kujibunia njia mbali mbali za kuepusha ajali.pata picha jinsi beki tatu anavokamuliwa mumo mumo.kinachotumika ni akili mtu mtu wangu.
 
Hao wote wanaccm

Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa

Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science.



Eti wanaume hii ni kweli hii?
 
Japo siwafagilii wachepukaji ila hii si kweli
Iko hivi Mwanaume mwenye akili ndogo huwa na michepuko mingi ili hiyo michepuko imfanye awe na akili kubwa. Ila mwanaume mwenye akili kubwa hana haja ya kuchepuka maana anachokitafuta anacho tayari. Kumbuka michepuko mingi huongeza akili. Siwezi nunua mkokoteni wakati ninaka pic up tayari
 
Mwanaume Akili ndogo hawawezi kua multifunctional.

Kwanza ukiwa na mchepuko
(Tena mungu akujalie awe pasua Kichwa ) akili ya kutafta na kucheza na akili yake itaongezeka,

Automatically
Utakua na mzigo mkubwa wa watu wanaokutegemea kwa mahitaji yao, ili kutimiza haja zako

Obviously iq yako itachanganya fasta Sana kuliko Yule mwenye mmoja.

Mwanaume mwenye akili kubwa anatafuta partner sahihi mwenye sifa anazozitaka na kutuliza nae. Mwanaume mwenye akili ndogo anaoa sura kisha anachepuka kufuata rangi, anachepukia tena msambwanda, cowbell, umaarufu, mafanikio n.k.
 
Back
Top Bottom