wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanaume ambaye hana muda na usafi / utanashati ana haki ya kutongoza Wanawake?

    Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake. Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ? Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo Kuoga kwake ni shida na maji...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

    HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE. Anaandika, Robert Heriel Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanapenda kunyoa kipara?

    Wengi wa wanaume siku hizi hupenda kunyoa kipara. Nimejiuliza sana lakini sipati jibu. Mtu mzima na heshima zake hunyoa kipara labda anataka aonekane kijana, labda kichwa chote kimejaa mvi au ameumbwa na upara. Staili ya kunyoa kipara uanzia kwa vijana na hata wenye vyeo Serikalini...
  4. JamiiForums Tanzania Humu kuna wanaume wanaringa pwa!

    Humu kuna wanaume wanaringa kama nini. Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu. Hawana pesa wala nini wote ni shida. Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment. Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Habari wanaJf? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

    Mhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia ID mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana. Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone JF ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda. Kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi imeandikwa wapi kwamba sisi wanaume ndiyo tulipie mapenzi?

    Mtu umeenda zako pub moja kali sana kuna warembo wakufa mtu cha ajabu unaonesha kuwa interested na mazi flani hata kampani umnunulie kinywaji mpige stori muda uende mtu anakwambia bila aibu miimi bao moja 70,000 what the hell is this? Kwani yeye hawezi kunilipa hiyo70,000 kwa kummwagia bao langu...
  8. JamiiForums Tanzania Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

    Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
  9. JamiiForums Tanzania Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  10. JamiiForums Tanzania Asilimia 97 ya wanaume Hawaoi wanawake waliosota nao

    Kama mada inavyojieleza hapo juu Ni Kwamba asilimia kubwa ya wanaume kamwe hawawezi kuwaoa wanawake/ wachumba wao waliosota nao kipindi kirefu. Wanaume tunafeli Sana kwenye hili suala.Binafsi sijaoa ila hi ishi huwa naiona kwa wanaume wengi especially rafiki zangu. Wanaume tuna tabia ya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
  12. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

    Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaume wa shoka

    Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu...... Karibuni sana makamanda wangu Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00 Kila la heri Wydad and Raja Casablanca
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani katika hili mbona wanaume wanakuwa sana kuliko wanawake.

    Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

    Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume: Jitihada zetu za kutafuta maisha Zinatuangamiza

    Wanaume Tubadilike Tunatafuta maisha kwa nguvu zote kwa Ajili ya familia zetu na inapotokea tumefanikiwa tunafeli sehemu ndogo sana: .Adui huwa hatoki mbali na wewe hata siku moja. .Kwa nn watu waanze kukutafuta baada ya mafanikio. .Kuna watu walikuwa hawana Time kabisa na wewe Utashangaa hata...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

    NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida..... ========================== A male with a big belly. PHOTO | COURTESY Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mabinti ambao hawajaolewa kuhusu wanaume wakatili kwenye ndoa

    1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo umesikia mke kauwawa na mumewe? Shetani anakuza ubaya wa mmoja ili kuwakatisha tamaa muone ndoa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…