Wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kila mwanamke utakayekutana naye kuwa na mwanaume

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Naona hawa wafanya takwimu kujua idadi ya wanaume na wanawake kuna vitu wanakosea kukusanya haya maelezo.

Idadi tunayo ambiwa ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kama wanavosema. ila kila mwanamke unaye mtongoza lazama ana mahusiano au alikuwa na mtu!.

Nauliza idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume!
 
Wanawake wengi wana mabwana 6/6! Yani unakuta demu ana vidume kavipanga sasa utamkutaje single?

Ukimuacha leo kesho utashangaa ana mtu tayari😃
 
Mwanaume mmoja anakuwa na mahusiano serious na wanawake hata wa 5 . Ndio maana kila mwanamke unaekutana nae anakujibu hivyo
 
Mwanaume mmoja, wanawake wawili. Mbona equation ina balance vizuri tu.
 
Jibu ni hilo,

Wanawake hujitoa sana / huitikia mwitikio kwa haraka karibia vitu vingi

Iwe sensa, makanisani, mikutani, jumuiya na hata uchaguzi mkuu na ndio maana wanasiasa wanawahi kuwahonga wanawake kanga na viremba kwa sababu muitikio wao huwa mkubwa. Kwahiyo si kwamba wanaume ni wachache unaweza sema ni wengi zaidi ya wanawake.

Tofauti tu watia takwimu walitakiwa waseme wanawake ni wengi kwenye mwitikii kuliko wanaume.
 
Hizo ni njia zao tuu za kujitetea, mwengine atakudanganya mke wa mtu, ila ukikomaa nae, unamla vzr na kuanza kukutafuta mwenyewe kwasababu ya kunogewa.
 
Ili kujua jinsia gani ni wengi,
Jipe kazi ya kufanya sensa kwenye hospitali iliyo karibu kwa kuorodhesha idadi ya watoto wa kike na kiume wanaozaliwa ndani ya mwaka mmoja.
 
Hilo la wanawake kuwa wengi utalikuta kwa mabeberu ambako mwanaume anakuwa na mke mmoja kama njiwa......
 
Back
Top Bottom