Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya Kusini. Bahati nzuri aliongea Kiingereza cha kueleweka shukran imwendee kiongozi wake wa dini kwani...
Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa...
Wanajamii habari
Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe.
Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha...
Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani...
Habari wadau.
Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana.
Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3.
Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama
Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa ndinjii wakishakula wake zetu huwa wanajisifu na kujiona wameyapatia maisha.
USHUHUDA
Mwenzi...
Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao.
Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka wote ambao hawawatumii mama zao hela ya matumizi.
Tumeenda leo kidogo kuwasalimu watoto na wazee...
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
1.Uvivu
Mwanaume mvivu, omba omba ambaye hukaa juu ya kochi na kunyoosha mikono kuomba hela kwa mwanamke, hafanyi kazi yoyote yupo yupo tu anasubiri mwanamke wake amletee hela.
Biblia inasema mtu adiyefanya kazi asile (2 Wathesalonike 3:11)
Pia mtu wa hivyo ni mbaya kuliko kafiri (1 Timotheo...
Za muda huu wanajamvi... Asubuhi hii nilipanda dala dala na kwa bahati mbaya nikasimama sana kwa kukosa seat. Route ilikuwa ndefu, kutoka K/Koo mpaka Mabibo.
Kwa bahati nzuri nikapata seat baada ya mmoja wa abiria kushukia kigogo. Kisha muda huo huo akaingia msichana mmoja mrembo mno aliyekuwa...
Kwa wale wafuatiliaji, niliwahi kuwapa story ya mwanadada aliyekuwa haelewani na mmewe kiasi cha kupigwa na manyanyaso kadha wa kadha! Akafikia hatua ya kulipeleka jambo hili kwa mjumbe na ngazi nyingine kadhaa! Kwa sasa wanandoa hawa wana report mahakamani kila siku! Pia kwa mjumbe!
Hivi sasa...
WANAUME WA DAR HUOGOPWA ZAIDI NA WANAUME WA MIKOANI!
Anaandika Robert Heriel
Ili uwe mwanaume wa Dar itakupasa uwe umeishi Dar kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo, wanaume wa Dar wanaogopwa Sana na wanaume wa mikoani tangu nchi hii ipate Uhuru. Zipo sababu nyingi za Jambo hili kuwa kama lilivyo...
Habari za mida wana MMU,
Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.
Sasa majuzi nimekuta...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo.
Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ).
“Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
Bila kupoteza muda niende kwenye mada.
Nimekutana na matukio mawili yaliyonifikirisha na kunifanya nikaribie kwenu ili nipate mawazo yenu
Binafsi nimewahi kudate huko nyuma baada ya kumaliza masomo ya chuo siwezi kusema yalikua serious kwasababu bado nilikua sijapata kazi na kufikia malengo...
Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??
Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?
Naona idadi ya wanaume inazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.