Hivi ni kweli wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume?

osmaney

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,041
998
Uzi mfupi, sitaki kukuchosha

Habari wanaJamiiForum!

Mara kadhaa nimekua nikikutana na hii kauli " wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume" sema mara nyingi huwa hawajioneshi wakihofia wanaume tutawachukulia vibaya.

Hivi kuna ukweli wowote hapo?
 
Yes wanapenda sex nakuwaza kuhusu sex mara nyingi zaidi kuliko wanaume! Vyou kazaa huko us na uk walishafanya tafiti zao nakujiridhisha ....
Google that sh!+
Shukran mkuu, nimebahatika kuona
IMG_20211108_175718.jpg


Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Kama wanawake wangekuwa wanapenda sex kuliko wanaume, bhasi wanaume wanaojiuza kwa wanawake wangepata soko kubwa sana...

Baadhi ya wanawake wanasema Wao wanapenda sex kama sisi wanaume, ila mimi nakataa kwasababu zifuatazo:

1) Ingia dm za wadada kwenye social media kama facebook, twitter, insta, tena utakuta Wadada sio wazuri sana, utakuta wanaume 8 wanamtongoza, ila huwezi kuta kwenye dm ya mwanaume kuna meseji toka kwa wanawake 8 Ambao huwajui, na wote wanakutongoza, labda we mwanaume uwe celebrity.

2) Wanawake wa humu fanyeni experiment, siku moja jitoe akili nenda kwenye mji ambao hujulikani, watokee wanaume 20 ambao huwafahamu, hawakufahamu Ila unavutiwa nao, Waambie unaomba namba zao za simu Ili baadaye uende ukachill nao geto kwao Kuangalia movies coz uko bored, kati ya hao wanaume 20, wanaume 18 watakukubalia kama sio 20 kabisa, ila sisi wanaume huwezi fanya hivyo, Dume hata uwe handsome vipi, ukiomba namba za wadada 20 unapokutana nao barabarani na hamfahamiani, ni mdada 1 tu atakubali, au hakuna mdada atakubali akupe namba Ili baadaye uende naye ghetto ukamle, labda Kama we mwanaume uwe celebrity

3) 80% ya wanaume tunanunua ngono, ila huwezi kuta mwanamke anatoa pesa ili agegedwe, labda asilimia 5% ya mademu ndo wanatoa pesa ili waliwe, tena mademu wengi wa hao ni vibibi, wakati kiumeni mwanaume handsome kabisa sometimes inabidi uwe unahonga ili upate papuchi

Kama hoja zangu si sahihi nirekebishwe Evelyn Salt Heaven Sent witnessj Niwaheri espy Mzigua90 brenda18 Miss Natafuta
 
Back
Top Bottom