Wanaume tupambane, tusipende sana ofa

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,270
40,080
Sifa ya mwanaume ni kulipa gharama na si kulipiwa.

Kukubali kulipiwa ni kuuvua uanaume wako na kuamia upande wa jinsia ya pili.

Hata kama umetolewa 'out' na rafiki yako, jitahidi angalau uchangie hata 500 ya kachumbari; hiyo itakupa heshima kubwa sana ya kuwa mwanaume halisi.

Wanaume tupambane......
 
Back
Top Bottom