Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku yangu ya kuzaliwa. Mwaka jana nilikua na tatzo nikampigia sim akantumia pesa zaidi ya niliotaka. Baada ya apo tukawa tunaendelea na mawasiliano yetu yakirafiki ya kawaida.

Mwaka huu mwezi wa 6 ameoa, hajaniambia mpk sasa, mimi pia sijamuliza na bado tunawasiliana. Habar ya kuoa nmesikia kutoka kwa mdogo ake alintumia adi picha na kwa marafiki wengine.

Jana nkasema ngoja nimjaribu, nikamwambia nna shida kiasi fulan cha pesa km kawaida yke leo amenituma zaidi ya kiasi nlichosema. kaka wa watu mpoleee alaf sijui ana pesa za kuchezea 😂😂

Anajua km spo single nna mtu mwingne lakn bado anatuma pesa nikimwambia nna shida. Ila na mimi nna bahati ata uyu nliokua nae pia mpolee lakin tukikorofishana natamanigi nikimbie, ana maneno ya kuumiza moyoakikasirika. Wanaume nnaokutana nao wana moyo wa tofauti sna mpk saa ingine najiuliza ivi awa wameubwaje?
 
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 alaf tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku yangu ya kuzaliwa. Mwaka jana nilikua na tatzo nikampigia sim akantumia pesa zaidi ya niliotaka. Baada ya apo tukawa tunaendelea na mawasiliano yetu yakirafiki ya kawaida.

Mwaka huu mwezi wa 6 ameoa, hajaniambia mpk sasa, mimi pia sijamuliza na bado tunawasiliana. Habar ya kuoa nmesikia kutoka kwa mdogo ake alintumia adi picha na kwa marafiki wengine.

Jana nkasema ngoja nimjaribu, nikamwambia nna shida kiasi fulan cha pesa km kawaida yke leo amenituma zaidi ya kiasi nlichosema. kaka wa watu mpoleee alaf sijui ana pesa za kuchezea 😂😂

Anajua km spo single nna mtu mwingne lakn bado anatuma pesa nikimwambia nna shida. Ila na mimi nna bahati ata uyu nliokua nae pia mpolee lakin tukikorofishana natamanigi nikimbie, ana maneno ya kuumiza moyoakikasirika. Wanaume nnaokutana nao wana moyo wa tofauti sna mpk saa ingine najiuliza ivi awa wameubwaje?
Mwanga mkubwa ww Mshana Jr kuna mtu kapewa limbwata huko inabid usiku huu tufanye special project
 
Back
Top Bottom