Heshima, starehe, urijali, kipaumbele kwa wanaume ni ngono, kwa mwanamke ni nini?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno.

Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume.

Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka,

Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee

Vipo vituko kwamba wengine hugeuka kulia, kutetemeka mithiri ya kifafa, kuongea lugha za kikabila na wengine kupiga roba pindi tukio linapoendelea.

Ukianzisha biashara ya kutatua matatizo ya hio sekta, pesa ipo nyingi sana na wote ni mashuhuda.

Ila kwa wanawake, kwao ngono sio kipambele kama ilivyo kwa wanaume, wengi hufanya sex kama usukani wa kumwendesha mwanaume, Anaweza kuotumia ili kuendesha mahusiano, hutumia sex kupata kitu flan mfano attention, n.k Mwanamke anaweza kufanya ngono na wanaume hata 20 kwa siku bila kuchoka tofaut na mwanaume akipiga mishindo miwili mitatu hapo inabidi siku ipite.

Sasa najiuliza kipaumbele kwa wanawake huwa ni kipi? Je, ni watoto, ndoa, heshima, au kipi??
 
.......huenda n pesa, lkn mwanamke kufanya mapenz na watu 20 kwa sku duuuh, imenitsha
Ishirini inawezekana kabisa mkuu we mfano wanaojiuza unakuta analala hata na wanaume ambao tukisema uwakusanye uwaweke sehem moja nadhan hawatoshi hata kwenye mabehewa matano ya Standard Gauge
 
Ishirini inawezekana kabisa mkuu we mfano wanaojiuza unakuta analala hata na wanaume ambao tukisema uwakusanye uwaweke sehem moja nadhan hawatoshi hata kwenye mabehewa matano ya Standard Gauge
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dooh! Kweli n hatar hii
 
Ishirini inawezekana kabisa mkuu we mfano wanaojiuza unakuta analala hata na wanaume ambao tukisema uwakusanye uwaweke sehem moja nadhan hawatoshi hata kwenye mabehewa matano ya Standard Gauge
Utumbo ule hta ule vipi wenyewe unatanuka tuu.
 
Wanawake wanapenda urembo na sio pesa kama wanavyojinadi wao.

Yani ukisema pesa basi hata wanaume hicho ni kipaumbele chetu ila, ni ile ukipata pesa kitu chako unachokipa kipaumbele ni kipi!!?
 
Taifti zilizofanywa na vyuo mbali mbali huko nje, zinasema kwamba wanawake wanapenda sana sex kuliko sisi!

Ila wanaume wanajionesha wazi wazi pasipo kuhofia kujajiwa na jamii , tofauti na wanawake ..
Hi nikutokana na jinsi wanawake walivyokuwa wanchukuliwa toka karne huko miaka ya zamani..!
 
Back
Top Bottom