Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

Tafsiri ya mwanaume kuwa kichwa cha familia maana yake kuisimamia na kuiongoza familia yake vyema katika mambo ya msingi na yenye manufaa kwa familia.

Changamoto na purukushani za kifamilia ni kipimo cha uongozi na ushujaa wako kama baba na kichwa familia,

Kukabiliana na changamoto na purukushani hizo ni uthibitisho kuwa unatosha kuwa kwenye nafasi hiyo na ni alama ya ushupavu kwa wote waliochini ya utawala wako.

Kuchelewa kurudi nyumbani kwa sababu yoyote iliyo nje ya majukumu ya kutafuta ridhiki ni alama kuwa huwezi kuyabeba majukumu na kutatua changamoto zilizo ndani ya familia yako huku wewe ukiwa kama kichwa cha familia.

Hali hiyo inapunguza heshima na hadhi yako kama baba wa familia pia inapunguza upendo na mshikamano ndani ya familia.

Hali hiyo inapelekea automatically watoto kumthamini mama kwa kuwa wanamuona kila siku ndiye anayepambana na harakati na changamoto za kifamilia huku baba akiwa anarudi ananyata usiku kwa uoga.

Think big, take control of your destiny.
 
Kuna wanawake bora uwahi kuchelewa ukute amelala...
Ukiwahi ukamkuta ataanza kukunusa akwmbie uvue boksa anuse.
Akiona haitoshi akamue dushe aone km vishahawa vimebaki
Aise
 
6.KUKWEPA MAJUKUMU (Ingefaa kuwa no 1.)
unakwepaje Sasa kwamba mwanaume awahi kurudi akapike ,mleta bandiko ameonesha kwamba wanaume anaowataja niwale kilakitu kipo nyumbani lakini Kuna visababu vinavopelekea achelewe
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom