wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  2. Morning_star

    Wanaume matatizo mengine tunajitafutia wenyewe na yakitusibu tunaanza kulalamikia wanawake!

    Ulishawahi kujiwekea vigezo vya huyo "ke" unayeenda kuanzisha mahusiano naye? Jiulize na jiridhishe anafanyakazi au shughuri gani ili aweze kuishi! Wengi wao hawana kipato chochote zaidi ya kudanga au kufanya ufuska wa chinichini. Hana kazi! Hana biashara! Wengine wanaishi na jamaa mbali kabisa...
  3. GENTAMYCINE

    Mbunge Askofu Gwajima sina Shida na REDE CUP yako ila Waambie wahusika wakiwa Wanacheza na kutuona Wanaume wasiwe wanajibinua na kuyatikisa

    Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.
  4. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Amani Mbilo wa Radio One kuwa makini usikuambukizwe tabia ya kuchukia wanaume ukakosa mume

    GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi kila Siku za Jumapili nimeanza kuvutiwa na Mtangazaji wa Kiume Haji Kibwana kwa jinsi...
  5. Unique Flower

    Hivi ni kwanini wanaume wafupi wanaringa?

    Nauliza kwanini wanaume wafupi wanaringa wanajionesha, wanajisikia na kupenda kuonekana, ila wanaume warefu ni baadhi.
  6. Gol D Roger

    Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

    Habari zenu wadau. Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi. Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30) Nimesikia na kuona...
  7. E

    Wanaume ndio wengi wanaosindikizwa na wake zao hospitalini kuliko wanawake wanaosindikizwa na waume zao

    Nimetembelea hospitali nyingi hasa za Dar. Mara nyingi nimeona wanaume ndio wengi wanaosindikizwa na wake zao hospitalini kuliko wanawake wanaosindikizwa. Utamdharau sana mkeo ila kumbuka siku si nyingi utaanza kumheshimu especially wakati anakupeleka hospitali. Juzi nilimuona mwamba mmoja...
  8. Brain Kingdom

    Kuna Mzungu Mmoja anaishi kota za SUA Sokoine Campus Kilimo Street, anawaingilia wanaume kinyume na maumbile na jamii SUA inajua miaka mingi

    Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii. Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na bajaji na wanajamii ya SUA wanajua hilo na wanashuhudia ugomvi wa mashoga ama wanaume kwenye makazi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

    WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa ni kasumba), ambazo ilikuwa mwiko kwa mwanaume kuwa nazo. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa kijana kuwa...
  10. AKILI KIJIKO

    Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha...
  11. Magdalene_joseph

    Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana! Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k. Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili? Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi? Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake...
  12. B

    Wanaume njoon mnipe jibu

    Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo??? Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu?? Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na...
  13. Nahman

    Kwa wanaume tu(Wanaume)

    Kwa kipindi kirefu nimekua msomaji wa mada mbalimbali zinazohusu mahusiano na ndoa mala kadha wa kadha Nmkua nkifatilia kwa kina juu ya wale wanaokataa ndoa, kuzielewa sababu zao zinazowapelekea kuzikataa! Lakini pia nkasogea hadi kwa wale wanaojiita ma super woman mitandaoni, nkasoma sababu zao...
  14. sky soldier

    Wakristo na sisi tukataze watoto wa nje, Matapeli wameanza kuiba mbegu za wanaume matajiri ili wapate watoto wa kurithi mali na pesa za kuwatunza

    Navyoona ukristo haukuwahi kudhania kama dunia itakuja kufikia zama za sasa, leo hii inawezekana kabisa mwanaume alie marekani kusafirishia mbegu za kutunga mimba kwa mwanmke alie Tanzania. Pengine Mungu alikataza watoto wa nje kurithi mali huko dini nyingine kwa kujua tutafikia zama hizi za...
  15. sky soldier

    Kwanini wanawake huwa hawaombani pesa kama sisi wanaume ?.

    Kwetu wanaume ni suala la kawaida kabisa kusaidiana pesa japo inabidi uwe na hoja ya kuweka msisitizo kwamba una shida ama utairudisha. Kwa wanawake hali ni tofauti, wao kupeana pesa huwa ni ngumu sana, watachekeana huko lakini kwenye mambo ya fedha pana kigingi
  16. sky soldier

    Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

    Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28 Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka. Shida inakuja kwetu Afrika 1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake...
  17. Mhaya

    Wanaume tumekuwa hatuna sauti mbele ya juju

    Karne zinavyozidi kwenda wanaume wamekuwa ni viumbe wanyonge sana. Unaweza kudhani ni Ngojera au hadithi maridhawa, kumbe ndio uhalisia wenyewe. Hawa wanawake wengi wanaongoza kwa kupiga vipapai waume zao, kwa Kinaijeria tunasema "Juju", jambo linalopelekea wanaume wengi kuwa wanyonge ndani ya...
  18. thegreat1510

    Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

    Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
  19. hamza mahundu

    Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  20. Gol D Roger

    Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
Back
Top Bottom