Pisikali sharti isijue wanaume zaidi ya watatu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu!

Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa.

Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au unatumia vilevi.

Pisikali zina sifa zake. Mtoto mmoja matata. Sio tuu kwa nje bali hata kwa ndani.

Pisikali inatakiwa isijue Wanaume zaidi ya watatu.
Sasa mwanamke Kalala na wanaume kumi alafu kwa ushamba wako unaita Pisikali. Hivi siku ukikutana na Pisikali utasema niñi?

Ndio maana wengi wanauliza mbona wanawake wanaoonekana wazuri hawaolewi. Ni kwa sababu yaliyomo hayamo.
Mtu anaona kwa nje ni Pisikali anaingia ndani anakutana na kazi mbovu.

Wewe kitu kimechoka unaita kikali. Acha pombe na mibangi.

Acha nipumzike
 
Wata jifanya kukaza shingo, akati mbinguni mambo ni hivi.
FB_IMG_17080894624514095.jpg
 
Kwema Wakuu!

Watu wazima wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wanaweza kunielewa nazungumzia nini. Pia wanawake Watu wazima wataelewa.

Vijana, huwezi kukuta Mwanamke anayejiuza pale Riverside au mwanamboka alafu ukaita Pisikali. Hiyo ni kuonyesha kichwa yako mtandao hausomi vizuri. Au unatumia vilevi.

Pisikali zina sifa zake. Mtoto mmoja matata. Sio tuu kwa nje bali hata kwa ndani.

Pisikali inatakiwa isijue Wanaume zaidi ya watatu.
Sasa mwanamke Kalala na wanaume kumi alafu kwa ushamba wako unaita Pisikali. Hivi siku ukikutana na Pisikali utasema niñi?

Ndio maana wengi wanauliza mbona wanawake wanaoonekana wazuri hawaolewi. Ni kwa sababu yaliyomo hayamo.
Mtu anaona kwa nje ni Pisikali anaingia ndani anakutana na kazi mbovu.

Wewe kitu kimechoka unaita kikali. Acha pombe na mibangi.

Acha nipumzike
unachozungumzia ni sawa na kutafuta msichana bikra saa hii 🐒

hakuna cha nini wala nini, kama hiyo pisi haijui wanaume wa3, basi Lazima inajua aina kadhaa ya midoli ya kujisukutulia mbususu na imejaa magetoni pake🐒

but all in all mbususu zimechakaa ndrugu zango, mpaka unajiuliza nini hiki na pisi imesumbua namna hii 🐒

R I P Laigwanani comrade ENL
 
Ila kwa kweli ni moja ya vitu vinakatisha tamaa sana wanaume yaani watoto wa mjini wanasema " vinakata stimu" unakutana na manzi mzuri hatari nenda naye kwenye malovee yaani unapania kabisa kwamba leo naenda kumnyandua ki ukali aaaagh unakutana na hmna kitu yaaan!!!!
 
Back
Top Bottom