Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,253
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 (jina tunalihifadhi kwa sasa) ambaye inaaelezwa kuwa ana changamoto ya matatizo ya akili amelawitiwa na Wanaume watano.

Tukio hilo limetokea Katika Wilaya ya Hai katika Kata ya Machame, Narumu Mkoani Kilimanjaro limezua taharuki miongoni mwa watu baada ya kijana huo kushindwa kukaa na kueleza tukio hilo lililomkuta.

Baada ya Uchunguzi na vipimo vya Daktari vimeonyesha ni kweli kuwa kijana huyo kuingiliwa.

Kati ya Watuhumiwa waliotajwa Watatu wamekimbia na wawili wamekamatwa na kati yao wapo Wanaume ambao wapo ndani ya ndoa.

Aidha, inadaiwa kuwa kijana huyo amekuwa kiingiliwa na watu hao mara kwa mara.

Wazazi wa kijana huyo wamedai kutokana na hali halisi ya maisha yao, hawana kipato cha kuweza kumudu gharama za nauli kufuatilia kesi hiyo bali wanamuachia Mungu.

inavyodaiwa watuhumiwa wanataka kuirubuni familia ya kijana aliyetendewa ukatili ili wasifike Mahakamani, wanataka kuwapoza kidogo ili jambo holo liishie chini kwa chini.

Pia soma - Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi
 
Kijana Mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20,(jina tunalihifadhi kwa sasa) Mwenye matatizo ya akili amelawitiwa na wanaume watano.

Tukio hilo limetokea Katika wilaya ya Hai katika Kata ya Machame Narumu limezua taharuki miongoni mwa watu baada ya kijana huo kushindwa kukaa na kueleza tukio hilo lililomkuta. Baada ya Uchunguzi na vipimo vya Daktari vimeonyesha ni KwelI kuwa kijana huyo kuingiliwa.

Kati ya Watuhumiwa waliotajwa Watatu wamekimbia na wawili wamekamatwa na Kati yao wapo wanaume Za watu.

Aidha Kijana huyo amedai kuwa huingiliwa na watu hao mara kwa mara.

Wazazi wa kijana huyo wamedai Kuwa kutokana na h ali halisi ya maisha yao, hawana kipato cha kuweza kumudu gharama za nauli kufuatilia kesi hiyo bali wanamuachia Mungu.
mtaani kwetu ilishawahi kutokea kesi kama hiyo, jamaa alikuwa kwenye 25 huko, akawa analawitiwa mara nyingi tu na watu, kaka yake alikuwa anampenda sana si unajua una dogo unayetaka kumfundisha maisha awe kijana bora, kumbe hujui, siku akaja kusikia huo uzushi, akafuatilia akamnyaka mchana kwenye chumba cha jamaa. alimpiga vibao ila akawa anatafuta sababu awafanye nini wale majamaa waliokuwa wanamlawiti, akamlazimisha kufungua kesi polisi, ilienda mahakamani lakini lijamaa likaonekana bwabwa linaeleza kuwa lenyewe huwa linaenda kwao mara kwa mara na wao wanamlala, mtu wa 25 amelawitiwa leo, keshokutwa anaenda tena kwenye vyumba vyao hao mabachela, jamaa alitufuata wanasheria tumpe ushauri atoe adhabu gani kwa hao wahalifu, tuliishia kumwambia aisee kama bado unampenda dogo wako, achana na hiyo kesi, na yeye anaenda kufungwa kwa kuruhusu kulawitiwa.

Moshi na Arusha kuna ulawiti sana, sababu ya kufuata mambo ya magharibi, na pia mabange na madawa ya kulevya, mateja wengi wakilewa madawa huwa wanalawitiwa ivyo wanajikuta wamekuwa mabwabwa kiutani utani tu hivi. ndugu zangu wachaga sijui shida ni nini au tuseme maish aya kisasa ya kula mavyakula ya kisasa miaka hii imefanya watu wame na mambo ya kike, au mapombe? nini shida? na si ukute hapo wameshachukua mpunga mrefu wa mtaji wamemwambia dogo kesi iishe tu hii, atatoka hapo ataendelea kulawitiwa na wale wanaolawiti watatafuta kijana mwingine wamharibu kwasababu wamezoea huo uchafu wakati Mungu kaumba wanawake kibao tu wenye maumbile ya kike kwa shughuli hiyo.
 
Kijana Mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20,(jina tunalihifadhi kwa sasa) Mwenye matatizo ya akili amelawitiwa na wanaume watano.

Tukio hilo limetokea Katika wilaya ya Hai katika Kata ya Machame Narumu limezua taharuki miongoni mwa watu baada ya kijana huo kushindwa kukaa na kueleza tukio hilo lililomkuta. Baada ya Uchunguzi na vipimo vya Daktari vimeonyesha ni KwelI kuwa kijana huyo kuingiliwa.

Kati ya Watuhumiwa waliotajwa Watatu wamekimbia na wawili wamekamatwa na Kati yao wapo wanaume Za watu.

Aidha Kijana huyo amedai kuwa huingiliwa na watu hao mara kwa mara.

Wazazi wa kijana huyo wamedai Kuwa kutokana na h ali halisi ya maisha yao, hawana kipato cha kuweza kumudu gharama za nauli kufuatilia kesi hiyo bali wanamuachia Mungu.
Tangu wale jamaa warudi mtaani matukio yameongezeka
 
Huu ni ushetani,turuhusu castration kama adhabu. +Serikali Mambo yenu ya 'mpaka vpn' ndio matokeo yake haya
 
Kijana Mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20,(jina tunalihifadhi kwa sasa) Mwenye matatizo ya akili amelawitiwa na wanaume watano.

Tukio hilo limetokea Katika wilaya ya Hai katika Kata ya Machame Narumu limezua taharuki miongoni mwa watu baada ya kijana huo kushindwa kukaa na kueleza tukio hilo lililomkuta. Baada ya Uchunguzi na vipimo vya Daktari vimeonyesha ni KwelI kuwa kijana huyo kuingiliwa.

Kati ya Watuhumiwa waliotajwa Watatu wamekimbia na wawili wamekamatwa na Kati yao wapo wanaume Za watu.

Aidha Kijana huyo amedai kuwa huingiliwa na watu hao mara kwa mara.

Wazazi wa kijana huyo wamedai Kuwa kutokana na h ali halisi ya maisha yao, hawana kipato cha kuweza kumudu gharama za nauli kufuatilia kesi hiyo bali wanamuachia Mungu.
Huo Mkoa una watu wapumbavu sana ukiwaona wanavyojifaragua kumbe ni mapumbavu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee sjui kwanini kilimanjaro huu ujinga unasambaa kwa kasi yaani kuna sehemu nilienda huko rombo moshi arusha vijana wanapenda kuliwa sana
Athari za ulevi uliopindukia na mibangi maana mtu huwezi fanyiwa hivyo ukiwa na akili timamu labda kwa watoto walionyanyaswa wakiwa hawajitambui
 
Back
Top Bottom