wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. proton pump

    JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake na wasichana. Hivi na nyie huwa mnapata WET DREAMS kama ilivyo kwa wanaume?

    Swali la mada hii linajieleza. Naamini kila mtu anauelewa na wet dreams (ndoto nyevu) ni nini. Uzi tayari.
  3. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada? Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada? Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama...
  4. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake wamegeuza mahusiano kuwa biashara na wanaume mitaji yao

    Ndugu zangu Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa ndiyo mitaji yao Utagundua kabisa katika hii biashara wanawake hawana cha kupoteza zaidi ya sisi...
  5. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Kisa cha maiti ya Anna Fritz na vifo vya wanaume waliombaka

    Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni tofauti. Kila mnyonge na mnyonge wake. Wao hawakuishia kuiona maiti, bali waliisasambua kabisa mpaka...
  6. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

    Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo). Hivyo vitambi waachieni wake zenu. Mazoezi kwa afya bora.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nauza accesories zote kwa ajiri ya urembo kwa wanawake na wanaume

    Habari zenu mabibi na na mabwana! Sisi ni lj adornments store tunauza saa(kike & kiume),cheni(kike & kiume),bracelets(kike & kiume),hereni,smartwatch na vingine vingi. Bidhaa zetu zimezingatia sana ubora hazipauki,hazichuji na wala haziwashi na ni imara sana. Tunapatikana kigamboni na...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  10. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wana wapenda wanaume wenye tabia hizi?

    1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope. 3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wako hivi?

    Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu. Why mpo hivi?
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

    Nadhani kawawakilisha vizuri?.
  14. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Uvutaji wa Sigara huchangia ugumba kwa wanaume

    Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), takriban watu Bilioni 1.3 duniani wanavuta...
  15. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Humu hata wanaume ni wapweke

    Humu jf wanaume nao ni wapweke kuna makundi mengi ya wanaume wapweke. 1. Wanandoa Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke na sonona sasa wakifanikisha kupata mtu au watu wanampiga nakitu kizito wanakuja kulia humu ndani...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shehena ya Zawadi kutoka kwa Wamarekani ikiwafanya Wanaume watakaoitumia wasipende 'Kubong'oa' hovyo nami nitakuwa naitumia Kunakotukuka

    Na nasikia majaribio yake yanaanza kwa Wakazi wa Dar es Salaam na ninachoshukuru hasa GENTAMYCINE kuwa tayari nimeshahama Dar es Salaam tokea tarehe 18 Februari, 2024 na sasa nakula zangu tu Kipupwe cha Mapinga nikiwa na Makomandoo wa Kiharaka hivyo hiyo Shehena ya wasiwasi kwa Team Kuzalisha...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanachowaza Wanawake na Tunachowaza Wanaume

  18. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya wanaume Dar young Africa V. Mamelod fc

    KISASI NI HAKI🔰 Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha Tshiclas aliyekua mkurugenzi mkuu kabla ya kumuachia timu Patrice Motsepe. Matokeo yalikua 3-3 uwanja...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
Back
Top Bottom