Wanaume mliowahi kudate wadada wanaoosha nywele saluni za kiume, nipeni uzoefu

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Hello,

Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii.

Wakuu nipeni tips, ikitokea tumeelewana vizuri, nataka nimuoe kabisa.
 
Hizi akili za kumuwakia demu kisa mzuri hapohapo unawaza kumuoa bado zipo??..., hao wafanyakazi wa saluni karibu wote wako hapo kuzuga, wapo hapo kwa ajili ya kuombwa namba za simu. Kujihakikishia mpime kwa kuwaelekeza rafiki zako hata watatu/wanne waende hapo kama wateja, kisha wamuombe namba za simu, wote watapewa tu.
 
Jiweke tu mkuu, ila siku magonjwa ya moyo yakianza usisahau kuleta mrejesho. ila zingatia ushauri wa wadau 'VAA NDOMU HATA NNE'
 
20240212_080956.jpg
 
Hello,

Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii.

Wakuu nipeni tips, ikitokea tumeelewana vizuri, nataka nimuoe kabisa.
Jambo la kwanza mkapime Afya 🐒

Mchunguze mwenendo wake hadi June, ukiridhika nao bas July kamtambulishe kijini kwenu, halafu Dec. Peleka barua ya posa na uchumba kwao, na wakikubali basi jiandae kulipa mahari watakayokupangia mwezi January au February 2025 na kisha Aug.au Sept. Mfunge ndoa takatifu 🐒

R I P Laigwanan Comrade EL
 
Kuna hizi mnaziita baba shopu.
Skumoja nikaenda bana, sasa baada ya kunyolewa nikaambiwa "kaa pale kaka", mie huyooo nikaenda nikakaa.
Basi binti mmoja alie vaa vizuri na mapaja yake yanaonekana vizuri kabisa akaja, kwa upole akaniomba niegeshe kichwa kwa nyuma... akaanza kunipaka likuidi sopu, kasafisha kichwa hadi usoni.... ghafla akaingiza kidole kwenye skuo langu man.... niliruka kutoka kwenye kiti huku nikiwa na povu kichwani.... nikafoka sana na nikaondoka wala sikujali kwamba sijasafishwa uzuri, wao wakabaki wanajadili kwamba "huyu kaka mshamba wa wapi".
Kuanzia sikuhiyo nikiwa naenda kunyoa naangalia kama pameandikwa Hair Cutt Saloon ndipo naingia, nikisha nyolewa huyooo naenda home kuoga.
Staki ujinga mimi...🤨
 
Hello,

Wazee kuna saluni moja nilienda hapa mjini, dah kuna mtoto nlimwona nkapagawa, ni mzuri haswa, mfupi kiasi, rangi nzuri, chura iliochomoza yenye shepu nzuri, mlaini, miguu yenye shepu nzuri ilionona, nkajisemea kwa uzuri huu hastahili kufanya kazi kama hii.

Wakuu nipeni tips, ikitokea tumeelewana vizuri, nataka nimuoe kabisa.
Mali ya umma hiyo mkuu

Kwani hapo saloon hakuna massage?, Kama ipo basi huko ndiko huwa anapatia kipato cha ziada. Ulivyopagawa wewe ndivyo walivyopagawa wengine ni vile wewe ni mgeni kwenye hayo mambo ila wanaojua wamekula tayari.

Sikuvunji moyo, ila barber shop ni aina nyingine ya madanguro.
 
wote wanakuwaga wanauza. kuna kipindi wife aliwahi kunipitia salon aliona nachelewa tulikuwa na safari mahali pamoja, akanikuta akasema ngoja aingie aone nipo wapi, akamkuta mdada ananipiga scrub. mazingira ya yule dada yalivyokuwa, hiyo kesi nilikaa nayo muda mrefu sana. wadada hao sio wazuri kabisa na wanauza kiukweli. wanatumiwa na shetani hao.
 
Back
Top Bottom