Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Nyafwili

JF-Expert Member
Nov 27, 2023
2,779
6,900
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🀝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko πŸ™, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-

|β€’ Ni weupe hata kama atakuwa na rangi nyeusi/majikunde lakini ngozi yake ipo mithiri ya mtu aliyejipaka mafuta ya mnyonyo.

||β€’ Miili yao imekaa umbo la nyigu, kwa mwanaume aliye kamilika hawezi kuishiwa hamu ya kulamba buyu la asali.

|||β€’ Siyo wachoyo, roho zao zimeumbwa kwa ajili ya kuwasaidia wanaume waliopatwa na kiu ya maji, hasa pale wakiwa katika hali ya kijangwa.

|Vβ€’ Wakitembea barabarani mijusi na baadhi ya wadudu hutingishika huko maporini.

Muda wa kukaa Tanga umeisha, najisikia vibaya sana kuondoka hili jiji. πŸ€—πŸ€—πŸ€—.

Screenshot_20240221-202824.png
Screenshot_20240221-202647.png
Screenshot_20240221-202630.png
Screenshot_20240221-202853.png
 
tena ukute anaevalia ushanga halafu anamauno feni unaweza ukajikuta soda unatamka choda na maji mma!..

kuna siku shetani mimi abdala kichwa wazi wangu alishawahi kunasa kwenye mishanga ya lishangazi lakitanga!.watoto watamu sana wale.
 
Duh nimemkumbuka Najma wangu.Sijui yuko wapi yule binti.

Mapenzi yake ni sukari ,kuogeshwa ilikua kawaida tu.

Mi nilikua kipanga mtoto wa wa watu alikua na asthma.

Sasa akifumania,anaanza kuhema anadondoka,

Nabeba naingiza ndani.

Yale ndo yalikua Mapenzi.

Namtafuta hapatikani popote.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚, hapo bado haujaogeshwa na maji ya vuguvugu yaliyo changanywa na hiriki, na mdalasini
 
Duh nimemkumbuka Najma wangu.Sijui yuko wapi yule binti.
Mapenzi yake ni sukari ,kuogeshwa ilikua kawaida tu.
Mi nilikua kipanga mtoto wa wa watu alikua na asthma.
Sasa akifumania,anaanza kuhema anadondoka,
Nabeba naingiza ndani.
Yale ndo yalikua Mapenzi.
Namtafuta hapatikani popote.
πŸ™‚πŸ™‚, Kwa nini ulimpoteza kizembe mkuu??, njoo tanga utafute pisi nyingine, maana kila Kukicha mambo ndo yanachemka Zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom