wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  2. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?

    Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Ukimzikiliza huu mama unaona uajabu wa wanasiasa wa Tanzania ambao wanadhani lazima washinde na wasiposhinda wanatukana

    https://twitter.com/MSNBC/status/1761567158432125272?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1761567158432125272%7Ctwgr%5E846d6e646e81a2ca35613cddb03e9e5a11890929%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fnews.yahoo.com%2Fmajority-south-carolina-republicans-oppose-220610110.html
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira au Sekeseke la Ajira - Wanasiasa bhana!

    Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala. Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nape: Wanasiasa wote wapewe nafasi sawa kwenye vyombo vya Habari

    Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi. “Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wadai kulipwa ili waandamane, wamesema Wanasiasa wote wanawatumia

    Mwenyekiti wa bodaboda wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, amesema kwamba baadhi ya vijana wake wa bodaboda walifuatwa na kuahidiwa kupewa mafuta na posho ili washiriki kwenye maandamano lakini kwa mujibu wake yeye alikataa kushiriki. ANGALIA VIDEO HAPA Source - EastAfricaTv
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dr Feleshi umewalenga wanasiasa, Prof Juma Mahakamani ni kuchafu zaidi

    Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake)...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nani alitarajia kina Halima Mdee wangesaliti vyama vyao?

    Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania si wafanyabiashara bali ni wanasiasa, viongozi wa serikali na ndugu zao, kuonyesha kwamba kuna kitu hakipo sawa

    Ni kawaida kwamba katika nchi nyingi matajiri wakubwa utakuta ni wafanya biashara, lakini sio Tanzania. Kwa sasa wanaoongoza kwa kuwa matajiri wakubwa Tanzania ni wanasiasa waliopo madarakani au waliokuwa madarakani huko nyuma. Halafu wanafuatiwa na viongozi wa serikali, pamoja na ndugu zao...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi lipewe hadhi yake. Wanasiasa wanaliharibu kwa kuliingiza kwenye mivutano ya kisiasa

    Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa wanasiasa zaidi ya Bunge na Amiri Jeshi Mkuu. Mkuu huyo wa mkoa ambaye hajaridhika na matokeo ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi msipotambua umuhimu wenu, mtatumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wala siyo kwa maslahi ya Taifa

    Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki. Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano...
  14. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

    Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera. Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake. Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa za ndani? Jeshi la polisi kwanini lisitumike kulinda usalama wa raia na Mali zao kama ilivyo...
  15. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na mchwa, wananchi tusipoweka mguu chini wanasiasa wataifanya nchi kuwa kama Congo

    Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo yasiyofikirika mtumishi wa umma kumiliki majengo kama Mikocheni, Dubai, Afrika ya kusini nk. Huyu Mh. amewahi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

    Ukweli mchungu! Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi wana viraka vya elimu. Wengi wako kwenye nafasi aidha kwa sababu ya mchango wa wazazi wao au...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi hawajawekeza kwenye sekta ya Afya ndo maana wanaruhusu huu uhuni wa NHIF!

    Asalaam Aleykum. Ama baada ya salamu hizo, niangukie kwenye mada moja kwa moja. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taharuki kwa wanufaika wa mfuko wa NHIF mara baada ya watoa huduma za Afya upande wa hospitali binafsi na zile zinazomilikiwa na Taasisi za dini na mashirika yasiyo ya...
  18. Juuchini

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waige Mfano wa Makonda kwenye kutimiza ahadi zao

    Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu Professor Jay. Mwenezi Makonda...
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania 'Vitoto' vya wanasiasa vinaingizwa ktk siasa, eti wengine waende kujifunza kilimo Israel!

    Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
Back
Top Bottom