Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,550
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.

Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake.

Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa za ndani?

Jeshi la polisi kwanini lisitumike kulinda usalama wa raia na Mali zao kama ilivyo kusudi la kuanzishwa kwake.

Tuelewane kuwa Chadema wametangaza Maandamano ya AMANI. Sasa kitendo Cha kuwaleta wanajeshi katika hekaheka za maandamano inamaanishi kushindwa kwa Polisi kulinda usalama?

Ndugu Chalamila Umezowea kufanyia comedy kwa kilakitu. Sasa umevuka mipaka.

Itafikia wakati jeshi litaonekana kitu Cha kawaida.

Ikifikia ile hatua raia wamezowea migongano na Jeshi la ulinzi, je utatumia jeshi gani panapobidi?
Kama Jeshi litaamua kutumikia CCM. Itafikia wakati Upinzani noa wataona haja ya kuwa na Jeshi lao. Ili ikitokea mazingira ya kupambana na Jeshi la CCM basi Jeshi la Upinzani lihusike.
Tulitarajia kwamba CCM nao waitishe maandamano Yao ya AMANI kuunga mkono muswada na kushinikiza bunge lao lipitishe. Hii ingeamsha ari na shauku ya Kila raia kutaka kuelewa miswada hiyo.

Tunaomba tabia ya kuliweka jeshi letu mbele kwenye mambo yenu ya kisiasa ifike mwisho.
Tambua wapo Watanzania wasio na vyama na hatufurahii kuona heshima ya jeshi letu pendwa ikichezewa na Wanasiasa.
Kama mnaona hamuwezi kurumbana kwa hoja basi acheni siasa njooni shambani tulime.
 
Wajinga tu ndo watajitokeza kujidhalilisha kufagia barabara. Ifike mahali wanajeshi wetu wajitambue na watambue thamani yao. Bila kujitambua watatumikishwa sana na wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi na yasiyo na tija!
 
Wajinga tuu ndo watajitokeza kujidhalilisha kuandamana kisa ulaji wa viongozi wa Chadema
 
Hivi mkuu wa mkoa anaweza kuwashurutisha JWTZ?
Hapana Mkuu.
Ni Rais pekee kama Amir jeshi Mkuu ndo anaweza kutoa agizo.
Sema wakati mwingine kiongozi wa juu akiwa dhaifu, basi wa chini yake huwa wanafanya yale ambayo alipaswa kufanya yeye.
 
Ukisikia amiri jeshi,maana yake ni kiongozi pekee anayetoa amri ya jeshi kuingia au kutoka vitani.
Hiyo ndio nafasi pekee aliyopewa rais ndani ya jeshi la nchi,zipo na nyingine ameongezewa ikiwapo kuvisha kamisheni maafisa.

Amri ya askari/kikosi/jeshi kushiriki ktk kazi za kijamii hata mwenyekiti wa serikali za mtaa anawezatoa.

Mjifunze kwamba wakati wa aman,jeshi ni taasisi tiifu kwa mamlaka iliyopo,neno kutumika vibaya ni mtazamo tu.jeshi likikunjua makucha kumkazia RC hata chadema haitaweza kufanya maandamano.
 
Hapana Mkuu.
Ni Rais pekee kama Amir jeshi Mkuu ndo anaweza kutoa agizo.
Sema wakati mwingine kiongozi wa juu akiwa dhaifu, basi wa chini yake huwa wanafanya yale ambayo alipaswa kufanya yeye.

Agizo lipi??

Agizo la rais kwa jeshi sio kufanya usafi ni kuingia vitani na kutoka.

Kazi nyingine zile ambazo zimeanishwa kwamba ni za kijamii,hiyo sio kazi ya rais kuliagiza jeshi,hata mkuu wa wilaya anatoa.

Na kwa jeshi hiyo ni ishara njema kwamba jeshi lina nidhamu kwa serikali yake,sio udhaifu kama mnavyodhani.
 
Hapa wa kulaumiwa ni jeshi lenyewe. Ilikuwaje mpaka wakafikia hatua hii?
Hii ni dharau kubwa, kiongozi yeyote kusema atakacho nao wanatii ndio tatizo lenyewe.
 
Hivi hizo kazi za kijamii kama kufanya usafi kwanini huwa hawafanyi hadi kuwe na tukio la kisiasa kwa upande wa upinzani?

Ungekuwa huu ndio utaratibu wao wala isingeshangaza, ila usafi wa kila yanapoitishwa maandamano ndio udhaifu wenyewe.
 
Kweli mrembo, uko sahihi kabisa.
Hata katika hali ya kawaida usipojitambua, utakuwa miss-used.
 
Hivi hizo kazi za kijamii kama kufanya usafi kwanini huwa hawafanyi hadi kuwe na tukio la kisiasa kwa upande wa upinzani?

Ungekuwa huu ndio utaratibu wao wala isingeshangaza, ila usafi wa kila yanapoitishwa maandamano ndio udhaifu wenyewe.
Tunajivunia kuwa na watu kama wewe JF.
Ahsante sana.
 
Hivi hizo kazi za kijamii kama kufanya usafi kwanini huwa hawafanyi hadi kuwe na tukio la kisiasa kwa upande wa upinzani?
Kazi za kijamii huwa wanafanya mfano kipindi cha migomo ya daladala na madaktari tuliona walifanya.
Ungekuwa huu ndio utaratibu wao wala isingeshangaza, ila usafi wa kila yanapoitishwa maandamano ndio udhaifu wenyewe.
Ok tuseme ni wachokozi,embu tujiulize wanaotarajia kuandamana ni kwanini wawe na wasi wasi wakati jeshi litatumia mifagio wala sio mabomu ya machozi??

sitetei jeshi,najaribu kufikiri kwa uhuru tu.
 
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.

Majeshi yatu yako kwa akili ya kuhudumia Taifa na raiwa wake.

Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katikaambo ya siasa za ndani?

Jeshi la polisi kwanini lisitumika kulinda usalama wa raia na Mali Zao kama ilivyo kusidi la kuanzishwa kwake.

Tuelewane kuwa Chadema wametangaza Maandamano ya AMANI. Sasa kitendo Cha kuwaleta wanajeshi katika hekaheka za maandani inamaanishi kushindwa kwa Polisi kulinda usalama?

Ndugu Chalamila Umezowea kufanyia comedy kwa kilakitu. Sasa umevuka mipaka.

Itafikia wakati jeshi litaonekana kitu Cha kawaida.

Ikifikia ile hatua raia wamezowea mihongano na Jeshi la ulinzi, je utatumia jeshi Gani panapobidi?
Kama jeshi lenyewe limependa kujiweka kuwa sehemu ya chama tawala ni vigumu sana kuheshimiwa na wanaojiona wako juu yao.
 
Jeshi letu ni la wasomi na tunatawaliwa na katiba.Katiba inaruhusu haki ya kuandamana na kukusanyika.Jeshi ni weledi naamini hawawezi kupelekeshwa kuvunja katiba yetu na wanasiasa njaa
 
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.

Majeshi yatu yako kwa akili ya kuhudumia Taifa na raiwa wake.

Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katikaambo ya siasa za ndani?

Jeshi la polisi kwanini lisitumika kulinda usalama wa raia na Mali Zao kama ilivyo kusidi la kuanzishwa kwake.

Tuelewane kuwa Chadema wametangaza Maandamano ya AMANI. Sasa kitendo Cha kuwaleta wanajeshi katika hekaheka za maandani inamaanishi kushindwa kwa Polisi kulinda usalama?

Ndugu Chalamila Umezowea kufanyia comedy kwa kilakitu. Sasa umevuka mipaka.

Itafikia wakati jeshi litaonekana kitu Cha kawaida.

Ikifikia ile hatua raia wamezowea mihongano na Jeshi la ulinzi, je utatumia jeshi Gani panapobidi?
Mkuu wa majeshi hajiamini na hajui kazi za jeshi
 
Back
Top Bottom