wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanawake wana cha kujifunza na kujivunia kwa hawa wachache

    Uthubutu wao, utashi wao kamili wa kisiasa, ujasiri katika kujisimamia na kusimamia wengine, umakini wao katika kujipambania na kupambania wengine, uvumilivu wao na subra kwenye mazingira ya vitisho, dhuluma, dhihaka au manyanyaso ya aina zote katika mambo mbalimbali ambayo waliona ni uhuru na...
  2. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Marekani yazuia silaha kwenda Israeli. Ni vilio kila kona kwa wanasiasa wa Marekani wanaofadhiliwa na Taasisi ya AIPAC

    Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza. Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta, Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili na kuandikishwa kama vyama vya kisasa, badala kuwepo na mipaka ya kiutaratibu maalumu juu ya...
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kujenga Tanzania mpya ambayo sio ndoto za wanasiasa walio wengi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Karibu kwa maada yangu. Awali ya yote, niwashukuru wote kwa kufika hapa leo. Acha nianze kwa kusema maneno machache kuhusu mustakabari wa ujenzi wa Taifa nikiangalia mitazamo ya vijana, wanasiasa na wananchi kwa jumla. 1. Elimu: Elimu ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Unatarajia wanasiasa watakuja na mbinu gani kuwalaghai watumishi Mei Mosi,2024?

    Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja Tupo kwenye tatizo lililoanzishwa na CCM kupitia bunge linaloitwa kikoakotoo...naamini hapa patakuwa na siasa siku ya mei...
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ulaghai na Ramli za Wanasiasa (The Finger Pointing Culture)

    Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics. Nashangaa pale Chama tawala wanapolaumu wapinzani ni kama dereva kulaumu abiria wakati yeye ndio anaendesha (lakini naelewa...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira. Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wanasiasa mwaka ujao utaongozwa na namba Tisa

    Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao. uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa na wa mwaka ujao utabalance kulingana na mkuu wa nchi tuliyenae na...
  9. Halaiser

    JamiiForums Tanzania Wako Wapi Wanasiasa hawa?

    Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao: 1. Harrison Mwakyembe 2. Mark Mwandosya 3. Job Ndugai. Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji? Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?

    Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
  14. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Hongera wanasiasa

    HONGERA WANASIASA 1. Waendapo majimboni, kuziomba hizo kura, Utadhani wanadini, wenye za upole sura, Magoti wapiga chini, mithili wataka pera, Hongera wanasiasa, kudanganya wananchi. 2. Hupita nyumba kwa nyumba, sera nyingi kimwageni, Hudai kura waomba, wawakilishe bungeni, Nguo zao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

    Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo Viongozi na Wanasiasa wanatufanyia

    They do nothing 😁!
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
Back
Top Bottom