Mwalimu wetu wa hili Somo la 'Current Affairs' sijui anatutakia nini sisi wanafunzi wake na hili swali lake gumu

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Swali:

Je, unadhani Ndege yetu ilitakiwa....

a) Kuruka toka Madafu Nation kwenda Fish Island kubeba Shehena inayosubiri Kwanza Majibu ya Maabara?

b) Kuruka kupeleka Wataalam wetu WHO wakaungane na wengine katika Kutafuta Chanjo Kamili?
c) Kuruka kwenda Kuwachukuwa Wenzetu waliokwama China, India na hata nchi za Uarabuni?

d) Kuruka kwenda Uswisi pamoja na Waziri wa Fedha ili akombe Msaada kupambana na Janga?

Hebu tusaidiane Kumjibu Mwalimu tafadhali kwani najua hapa ni kwa Great Thinkers nyie hivyo hamtolishindwa.
 
Mzukulu,

Kwanza mtaje huyo Mwalimu ni nani ndipo tuweze kujibu. Unaficha nini hapa??, wewe hujui kuwa; MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU na yakupasa useme UKWELI KWA DHATI KABISA ili utakapokufa MUNGU AKUFIKIRIE UWE KIRANJA WA MALAIKA HUKO MBINGUNI. 🤣
 
Nyie tunaweza nyungu tuu hayo Mambo mengine tuache mwishoni tuliambiwa kumeza nyembe kwenye saluni watu watatafutana kuzisaka. Acha tuu tuitazame hii CCM Hadi Balozi zao watakapoisha kwa corona labda akili itaanza kurudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali:

Je, unadhani Ndege yetu ilitakiwa....

a) Kuruka toka Madafu Nation kwenda Fish Island kubeba Shehena inayosubiri Kwanza Majibu ya Maabara?

b) Kuruka kupeleka Wataalam wetu WHO wakaungane na wengine katika Kutafuta Chanjo Kamili?
c) Kuruka kwenda Kuwachukuwa Wenzetu waliokwama China, India na hata nchi za Uarabuni?

d) Kuruka kwenda Uswisi pamoja na Waziri wa Fedha ili akombe Msaada kupambana na Janga?

Hebu tusaidiane Kumjibu Mwalimu tafadhali kwani najua hapa ni kwa Great Thinkers nyie hivyo hamtolishindwa.
Nikusaidie tu hapo kwenye "C". Ndege ya ATCL itaruka tarehe 11/05/2020 kwenda India kuwachukua Watanzania walikwama huko na kurudi kesho yake tarehe 12/05/2020. Unaweza kuwasiliana na Engineer Matindi kwa maelezo zaidi.
 
Si kwamba zinapeleka cargo ya nyama ya mbuzi.
 
Lakini ndege hiyo ingekuwa imembeba mwanachama wa chama chenu na kuzunguka nayo tu huko ulaya, mngekaa kimya kwa kuwa imeenda kubeba mzigo ambao mabeberu hawapendi ufike mnajitoa akili kabisa.

Uzalendo ni muhimu saña ,kwa sababu hiyo dawa ikithibika ni salama ndege hiyo itakuwa imefanya Jambo moja kubwa sana katika historia.
 
Back
Top Bottom