Njia ya kuwapa wanafunzi mitihani wakiwa nyumbani

TIPSEU TANZANIA

New Member
May 19, 2020
1
0
Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION
Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona, ambyo sasa wanafunzi nchi nzima watafanya mitihani kupitia link za mfumo bila kutoa copy,halafu matokeo atapata papo hapo na masahisho bila kutumia gharama zozote.sisi ni vijana tumeamua kusaidia jamii kwenye janga hili.

Mfumo wetu ni link tu haupakui chochote ,mwanafunzi anapata matokeo ndani ya sekunde mbili tu na correction. Wiki ijayo darasa la saba na la nne tumewapangia ratiba ya mitihani nchi nzima ikiwa ni juhudi za kuwapima watoto na kuwashindanisha wakiwa nyumbani,ni shule binafsi na serikali;

sajili wanafunzi wako kupitia 0742644871 kwenye whatsapp au sms tujenge nchi yetu,mfumo upo vizuri mno
email yangu ni thunderboltfredrick@gmail.com
 
Back
Top Bottom